Kampuni ya UDART, mradi wa mabasi ya mwendo kasi imetuma maombi SUMATRA, nauli ipandishwe na kuwa kati ya Tsh 1,200 - 1,400 kwa safari ya njia kuu. Wanafunzi kulipa nauli ya mtu mzima.
- Kwa mujibu wa sheria ya SUMATRA, Mamlaka inapswa kukusanya maoni ya wadau kabla ya kufikia uamuzi wa kuridhia wa viwango vya nauli.
MAONI KUTOKA KWA MDAU;Ada ya shule ya kata ni 20000/= kwa mwaka
Nauli nusu ya mtu mzima = 600 x Siku 196 za shule kwa mwaka ambazo anaattend school = 117600
Ya zamani 200x 196 = 39200
Difference zaman na sasa ii mpya
117600-39200 = 78400
Ongezeko ni shlng 78,400/=
78400-20000 ya ada = 58,400
Mimi yangu macho kama shuls za kata wanafunz hawataenda kwa siku moja shuleni kwa mwezi. (Elimu ni bure tz) lazima tuamie kijijini kuchoma mkaa n ciida,,,
FROM MALISA;Unyonyaji wa kiwango cha PhD. Ukitoka Posta kwenda Kimara nauli 1200/=. Kutoka Posta kwenda Mbezi Mwisho nauli 1400/=. Kutoka Ubungo to Magomeni nauli 700/=. Hivi ulkijumlisha hii nauli miaka miwili hujanunua "Passo" yako?? Wana Dar es Salaam mkishindwa kujitokeza kwa wingi tar.05/01/2016 pale Karimjee kwenda kupinga huu ujinga msimlaumu mtu.!
HIVI WANAWAFIKIRIA WANANCHI KWELI NA HIZI NAULI,,
No comments:
Post a Comment