Mbowe hawezi kuisoma namba. Ana biashara zake plus mshahara wa ubunge. Lowassa pia ana hela zake. Mbatia mhandisi pia mbunge. Tundu Lissu advocate. Ana hela zake. Kushangilia eti UKAWA watakoma ni ujinga. Atakayeisoma namba ni yule ambaye akija hospitali ukamwambia hela ya kumuona daktari ni 6000 anapanic anaanza kuwalaum madaktari. Anaeisoma namba ni yule mwenye kipato cha chini, bima ya afya hana, hata hela ya kumshonea mwanae uniform hana. Anaeisoma namba ni yule ambaye hawez kuafford milo mitatu iliyo kamili kwa siku. Ni upuuzi kwa mtanzania wa manzese (asiyeweza kulipa ada ya shule ya 40k kwa mwaka) kusema Duni ataisoma namba wakati ana taaluma yake na pesa zake. Unaeisoma namba ni wewe ambaye tokea umemaliza chuo ni miaka mitatu huna kazi (halaf kwa upumbavu unashabikia hapa kazi tu). PUMBAVU SANA. Unaeisoma namba ni wewe ambaye mtoto wako akiumwa mafua tu huwez kuafford dawa. Asilimia kubwa ya waliomchagua pombe ni ile 30% ya watanzania wanaoishi chini ya mstari wa umasikini (kipato cha siku kuwa chini ya dola za kimarekani 1.9.. sawa na sh 4000 hiv). Hawa ndo wanaisoma namba, miaka 54 ya uhuru bado wanaishi gizani, bado hawawez kupata maji safi na salama... Halaf walivyo wapumbavu wanashabikia hapa kazi tu.. Kweli ni kazi.. Maana kushindia mlo mmoja kwa siku so mchezo, ni kazi kweli. Kumnywesha mwanao mwarobain kwa sabab huwez kumudu bei za madawa, so mchezo ni kazi haswa haswa.
Kama watanzania wenyewe ndo hawa ambao hawajitambui, WE HAVE A LONG WAY TO GO.
Edwin,
Mwananchi wa kawaida
C&P
I rest my case
Tumezoea dhiki watanzania, na bado wengi wetu tuliopo mjini kamwe hatujui shida na taabu wanazopitia ndugu zetu vijijini,ndo maana wengine hata kwao hawajawahi kufika hadi leo,am sure kuna watu wanandugu kibao babu, bibi, shangazi, mjomba you name it, kwao Dar es salaam wanaisikia tu hata mguu hawajawahi kukanyaga, achana na matatizo na changamoto zilizopo mijini ambazo wengi wetu tunazipitia,wanasema hapa Kazi tu! lets wait we will see mbona tulihaidiwa maisha bora kwa kila mtanzania na bado sijaona. All i ever wish for, is to see a new Tanzania where education is given the first priority, how can you compete na soko la kimataifa wakati mburulaz kibao Mungu wangu, kupata kazi hadi ujuane na mtu, corruption everywhere sio makazini sio vyuoni,kuna watu wanajifanya wenyewe mambo safi only cause you come from a good background wazazi wako wapo vizuri but take a minute and replace that position na mtu wa hali ya chini asiemjua mtu anajaribu ku struggle atoke kimaisha, hivi kuna mtu anapenda shida kwenye maisha? people talk like they are in KFC eating wings but it's reality is what they choose to ignore. Wangapi wanaenda government and private insitutions mf: hospitali daktari anakuja muda anaotaka and you complaign, why can't your voice be heard kwa nini wewe ulilie kupewa huduma nzuri wakati huduma nzuri ni haki yako?Godamn it! They say karma is a bitch Mr President lets keep praying for Tanzania cause GOD is not deaf.
#Kama_Akili_ni_Nywele_basi_wigi_ni_memory_card
#
Raha kublock ; why?
Inbox : mnafiki ; kamanda tupo pamoja , yani mabadiliko lazimaaa yani tumeichoka ccm yani nyie kazeni buti
Me: ubarikiwe
Mnafiki ; yani unajua tumepigika sana sababu ya chama tawala , nakuombea upate mafanikio utukomboe Vijana wenzio! Nakuombea sana
Inbox : mnafiki ; kamanda tupo pamoja , yani mabadiliko lazimaaa yani tumeichoka ccm yani nyie kazeni buti
Me: ubarikiwe
Mnafiki ; yani unajua tumepigika sana sababu ya chama tawala , nakuombea upate mafanikio utukomboe Vijana wenzio! Nakuombea sana
Tarehe 25.10.2015
Mnafiki updates status ; nimepiga kura , KIJANA jitambue
Mnafiki updates status ; nimepiga kura , KIJANA jitambue
Tarehe 29.10.2015
Mnafiki updates: nauza ndimu Na malimao , wapinzani bado sana , blah blah oyee
Mnafiki updates: nauza ndimu Na malimao , wapinzani bado sana , blah blah oyee
ME: I PRESS UNFRIEND FASTA BILA MAJUTO 😈
Serikali Ya Magufuli Imeshaingia, Kazi Lazima Iendelee..!
Ndugu zangu,
Muda mfupi uliopita nimemwona Jaji Lubuva akimtangaza John Pombe Magufuli kuwa ndiye mgombea urais aliyewashinda wenzake wote.
Afrika hakuna fungate ( Honeymoon) ya kuingia Ikulu. Kuwatumikia watu zaidi ya milioni 40 si kazi nyepesi. Kuwatumikia waliomchagua na ambao hawakumchagua. Wanaompenda na wanaomchukia. Wote ni watu wake.
Na siku zote, Rais ni mmoja lakini kazi ya urais si ya mtu mmoja. John Magufuli anatakiwa sasa kujichimbia kupanga kikosi chake cha kazi ( Mawaziri).
Itakumbukwa, kuwa Magufuli alishawaambia wapiga kura kuwa mawaziri wake watakuwa wachache lakini wachapa kazi.
Hongera Sana John Pombe Magufuli na Kila La Heri kwenye kuifanya kazi ya kuiongoza Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, na watu wake.
Maggid,
Iringa.
Raha Utangazwe Rais alafu watu mtaani wapige ndulu..
Huku kwetu police kibao.. Utadhani kuna mtu ana silaha.. Yan tumetuliaaaa endeleeni kutulindia nguo nje,,
"Matokeo hata hayajanishtua....sababu tng nilipoanza kufuatilia matokeo...tayar nilikuwa nishaanza kumjua rais ajae....all at all....hizi ndo siasa za nchi za kiafrica...nchi maskn....nataman kumuuliza edo...kabla ya uchaguz alituambia tumpigie kura....maswala ya wizi na maswala ya tume yapo chini yke tumuachie yeye...sasa leo edo akilalama kwetu kuhusu kupunguziwa kura zke sijui anataka tufanye nn zaid ya kile alichotuomba tukifanye...sisi watanzania ndo tumuulize yeye kura zetu zimeibiwajwe.....binafs sitak kufikiria km kuna mtu atashawishiwa kuingia barabaran....sababu mm binafs sion upinzn bali naona mtu na kivuli chake tu....mtu mweupe anashangaa kwnn kivul cheusi..."
FAIZA ALLY:kwa watu wote waliopigia kura CHADEMA ikiwemo mimi hapa mwenyewe naomba nichukue nafasi hii kuwaambia kwamba kura zenu hazijaenda bure! Na wasanii wote walio shiriki kampeni kazi yenu haijaenda bure - sawa chadema haijashinda lkn changamoto mliotoa tumewanyoosha CCM- tumewapa changamoto na amini usiamini kuna vitu vimebadilika na vitabadilika kwenye utendani na ni maslai ua TAIFA zima - jiesabuni ni washindi na tuendeleze AMANI ili tuzidi kuwaangalia na kuona mabadiliko ya kazi zote mlizo zifanya!!!! Peoplessssassss
✌
✌
No comments:
Post a Comment