Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, October 7, 2015

THE SAGA OF GERIS HILTON,WHAT A SHAME!!!




LUCKLY THE COMPANY TOOK THE MATTER VERY SERIOUS WHICH THEY SHOULD AND FIRED THE MAN WHO DID THAT FOOLERY BECAUSE HE COULD HAVE STOPPED IT SINCE HE POSTED THE PICTURE ON HIS FACEBOOK ACCOUNT SO HE COULD HAVE EASILY TOLD OFF THE PEOPLE WHO WERE COMMENTING SUCH RACIAL FOOLERY,,

ILIANZA HIVI HUYO KAKA JUU ALIPOST PICHA FACEBOOK NA MTOTO AKIONEKA NYUMA YAKE AMBAE NI WA MFANYAKAZI MWENZAKE,,
BAADA YA KUIPOST WATU WAKAANZA KUKOMENT KAMNUNUA WAPI MTOTO,HAWAKUJUA YEYE NI SLAVE OWNER,,HAWAKUJUA KUWA NA MTOTO MWEUSI INSHORT ZILIKUWA COMMENT ZA UBAGUZI NA YEYE SIDHAN KAMA ALIWAJIBU MWISHO WA SIU ALICHUKULIWA HATUA NA KUFUKUZWA KAZI NA KAMPUNI ILOKUWA IMEMUAJIRI,,

No comments: