Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, July 29, 2015

SHE DID THAT,JOYCE KIRIA THAT IS WITH HER DYUDYUUU CAMPAIGN!!!

Leo kuna Mwanaumelive kanituma niwaambie baadhi ya Wanawake ambao walikuwa wana-amshaamsha kwenye chakula ya Ndoa na baada ya kuolewa au kuingia ndani ya nyumba wamebweteka bweeee😜😜😜 wanawake wengi wanajibweteka sana kwenye mpango mzima wa #Dyudyu 
Kanipa mfano wa mkewe kwamba zamani alikuwa analalia zile nguo za @mbutanangablog za how to look sexy at chumbaniπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ Eti siku hizi analalia jinsi Khaaaa!!! Utaacha kupigwa mangumi kweli??? Jinsi jamani? Kwani unasafiri au unaenda vitani?? Lini umeanza kufichaficha ??? Shida ninini mpaka uanze kulala na jinsi??? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™† Wanawake Turudie nguo za @mbutanangablog how to look sexy at home! Jamani wamama hata kama umezaa watoto musiwache amsha amsha eti kisa ushaingizwa ndani ya nyumba eti mume ushampata, unamlazimisha akachepuke NgachokaaaaπŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†

Kampeni ya Dyudyu ni ShiiiiiiiidaaaaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila najua mnaisoma kimyakimya japo mnapiga makelele kama vile hamupendi dyudyu Wanafiki wakubwa😜 utadhani mlishushwa toka mbinguni kumbe na sisi wote ni matunda ya Ndyudyu na siyo Vipigo fyuuuuu....
Hakuna Kupiga Mwanamke Kwa Ngumi Na Kummwagia Maji Ya Moto, Chaaaaaaaa Mwanamke anapigwa na nini wapendwaaaaaa?? Malizia kwa sautiiiiiiii hahahahahaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
‪#‎MtanyookaTuu‬ hapa ni mwendo wa kuwalambisha πŸ‹πŸ‹πŸ‹πŸ‹ wale wooote mnaogeuza mapenzi Vita fyuuuuuu

Ngachokaaaaaaaaa

1 comment:

Anonymous said...

this is so true, but funny also... sleep in the nude and spoon, that will get things going fast... and it's just nice to be that close to some while in the nude! (~^)