Mburulaz yeyote asinipangie cha kurepost kwenye wall yangu, soma ujumbe au sepa👉👉👉🏃🏃🏃 msonyoooooooo....
Repost from @faiza_ally
Poleni marafiki mlio sikitishwa na tukiwa langu la kupokonywa mtoto- nimeona mnahitaji kujua ili muache masikitiko na tufurahie wakati uliopo- ni Kweli baba yake alishinda KESI lkn sheria hairuhusu nazani alitumia rushwa au labda cheo chake maana haijulikani alishindaje - any way nataka tu mjue mtoto wangu ninae na mimi si mwanamke regerege wa kupokonywa haki zangu za kumlea mwanangu ! Nimekwenda kwenye vyombo vya sheria na vinafanya kazi na. Niwahikikishie tu ntashinda kwa kuwa nina haki na ni mama bora- nitasimama mpaka kieleweke bila kujali cheo wala pesa - sheria zimewekwa na haki zinatendeka- mpaka sasa niko vizuri tu- niko na sasha na ntaendelea kuwa nae mpaka umri utakapo ruhusu lkn si leo wala kesho hayo ya mbele mungu ndio anayajua.....na niwaambie tu wale watoa hukumu wa humu ndani- KATIKA SHERIA YA TANZANIA NA DUNIANI HAKUNA KIPENGELE KINACHO MFANYA MAMA APOKONYWE MTOTO KUPITIA MAVAZI- KUNA VITU VYA KUZINGATIA VYA MUHIMU LKN SI MAVAZI! Aacheni ujinga wa kupeana hukumu - kuna watu wana mamlaka yao waliosomea kazi zao sio nyie wajinga mnaojivisha joho la ujaji hahahahahahaaaa..... Na msisahau hakimu mkuu ni MUNGU - ANAONA ANASIKIA NA ANATENDA 🙏🙏🙏 Alhamdulillah - feeling bless 👼👼👼
No comments:
Post a Comment