January Y. Makamba ndiye mgombea wa CCM aliyejieleza kwa ufasaha zaidi kuliko wote. 'content' kawazidi wenzake wote. Hata hivyo ameshindwa kabisa kutamka Miiko ya Viongozi. Bila Miiko yote aliyoyataja hayatafanyika maana ufisadi utatamalaki. Unaweza kuondoa rushwa kwa sheria. Lakini huwezi kuondoa ufisadi bila Miiko ya Viongozi. Sijui kwanini Kijana mwenzangu kaona aibu japo kutaja neno Miiko. Uchaguzi wa mwaka huu umeegemezwa kwenye kurudi kwenye Misingi iliyoasisi Taifa.
Nimeridhika sana na content na context. Sikubaliani na mwono. January Makamba anaiona Tanzania ya kibepari. Nadhani inabidi kufumua uchumi wa kibepari na kujenga uchumi wa kijamaa. I would love to debate him on the kind of the nation we shall rebuild. Kila la kheri rafiki yangu.
images;millardayo,facebook
1 comment:
MASHALLAH MZEE MAKAMBA NA UZAZI WA MATUNDA WANAE WOTE WAKO VIZURI. INAFURAHISHA KAMA MZAZI
Post a Comment