Genuine Nordic Vodka
Monday, June 15, 2015
TUFUNGE MJADALA!!!
NIMEELEZA KUWA HIYO NGUO HAIKUSTAHILI KUKAA HIVYO- BAADA YA KUKAA KAMBA ZILIACHANA - NIMEOMBA RADHI PIA NIMEOMBA PICHA IFUTWE NA BAADHI YABLOG NA HUKO IG ZIMEFUTWA..... SASA UNAPO NI TAG AU KUWEKA PICHA NA KUOMBA WATU WATOE MTAZAMO NI KAMA UNA ENJOY KUONA NATUKANWA..... KIUFUPI SIKUPENDA KUONA MATAKO YANGU KWENYE MITANDAO - NIMESEMA HAIKUA LENGO - LKN NAONA MMESHANIJAJI NA KUNIHUKUMU- SAWA HAKUNA AMBACHO SIJASIKIA WALA KUONA LKN UWE RAFIKI AU SIO UKINITAG NITA KU UNFRIEND - UKITUKANA PIA NTAFANYA HIVYO.... WANAO NIELEWA ASANTENI NA WASIO NIELEWA NI SAWA PIA SIO LZM WOTE MUELEWE!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
Mwehu SASA NDO tusha KU tag . Ulivaa Nepi KWENYE birthday unakaaga UCHI uso NA HAYA rud AirPort ukatambikiwe
AIBU
mwongo huyo, siku zote mtu ukitoka nyumbani alaf gafla nguo ikachanika njiani unaahirisha safari km huna mtandio au kanga ya kujisitiri, tena nahisi yeye ana private car kwa nini asirudi nyumbani ndo kwanza kaenda kabisa red carpet kupozi for picture????????????? nafikiri analazimisha umaarufu sasa kachemka, kaadhirika, kavunja sheria (kutembea uchi mahala si pake) ndo anajihami!!!!!!!!!!!! anatuaibisha wanawake wenzie, mana kila mavazi yana mahala pake!
Faiza Alii, nakupenda. Lakini siwewe mwenyewe ndio ulimwambia fundi ashone ivyo. Kwa nini ukuweka izo kamba juu tu
chini akafanya kama ka mini sket. Au izo kamba zikawa pembeni tu.
Kama uliweza kuvaa pempas Restaurant kisa ni birthday gal. Kwa kweli wewe huna haya, ata kama ulitaka all eyes on you
Was too much sweetheart ........lol!!! Attention seeker,
AM.
Post a Comment