KUTOKA KWA ERAS,HAHAHAHAH!!!
Wale mnaowapandisha wazazi wenu mabasi ya nauli ndogo alafu wapenzi wenu mnawapandisha Ndege tena mnakata seat za bei ya Juu siku ukifariki utaenda kuelezea uko Juu..Haiwezekani mama ako ukampandisha li-bus masaaa 14 yuko road anachoka mara linaharibika.. Alafu dem wako unamkatia flight dk 45 kafika... Ivi izo Nyege zako ni kabila gani..?? Acha ujinga.. Atakayenuna anune bana..Mxiiiiiiiiuuuuuuuuu™
No comments:
Post a Comment