Those words from Zari sio poa at all hata kama hakuridhika hakustahili kuandika maneno kama ayo mpaka ss ivi fun wa Daimond washajigawa which is not good angejishusha tu kwakuomba msamaha na mambo yaendelee mana anamuaribia mwenzake maneno gani ss ayo yakuandika kama co dharau kaaah kanchosha Wallah ajue lakini hao hao wanaompgia kelele ndo walomfanya Dai kuwa pale mana bila kukubalika nyumban uko International angejulikanaje tuheshim vyetu
ASIKUSUMBUE MY DEAR ZARI ALIISHI NA MWANAUME AMBAYE KILA MTU AKAMTAMANI ALIPOACHWA .ALIRANDA RANDA KAA MPIRA WA KONA SASA KAMPATA SUKARI YA WAREMBO AMEMWEKA KIMAPENZI ANAHISI KAA KAIYONA PEPO YAKE MBINGUNI NA KASAHAU MPAKA ALOWAZAA NA KUWAPIGANIA MAISHA .MWACHE APOGE KELELE WANAUME 75% WANAFANANA NA TABIA YA MTU NI KAA NGOZI SHIDA KUIWEKA UTAKAVYO ANAFATA MANENO YA WATU . SI VIBAYA NA WENGINE WALIITANGAZA TANZANIA WAKISHINDA TUNATAKA TUPATE WASHINDI WENGI TANZANIA IJULIKANE ZAIDI
Kwani Uganda ndio ilimfikisha Dai, alipo. Dada usitukane wakunga na uzazi ungaripo......au tuseme usitukane mamba kabla ujavuka mto... Utabaki kuwa baby mama siku zote kama huna Akili .....Wacha kuongea pumba wee Zari.. msonyoooooooooo!!!!!!!!!
3 comments:
Those words from Zari sio poa at all hata kama hakuridhika hakustahili kuandika maneno kama ayo mpaka ss ivi fun wa Daimond washajigawa which is not good angejishusha tu kwakuomba msamaha na mambo yaendelee mana anamuaribia mwenzake maneno gani ss ayo yakuandika kama co dharau kaaah kanchosha Wallah ajue lakini hao hao wanaompgia kelele ndo walomfanya Dai kuwa pale mana bila kukubalika nyumban uko International angejulikanaje tuheshim vyetu
ASIKUSUMBUE MY DEAR ZARI ALIISHI NA MWANAUME AMBAYE KILA MTU AKAMTAMANI ALIPOACHWA .ALIRANDA RANDA KAA MPIRA WA KONA SASA KAMPATA SUKARI YA WAREMBO AMEMWEKA KIMAPENZI ANAHISI KAA KAIYONA PEPO YAKE MBINGUNI NA KASAHAU MPAKA ALOWAZAA NA KUWAPIGANIA MAISHA .MWACHE APOGE KELELE WANAUME 75% WANAFANANA NA TABIA YA MTU NI KAA NGOZI SHIDA KUIWEKA UTAKAVYO
ANAFATA MANENO YA WATU . SI VIBAYA NA WENGINE WALIITANGAZA TANZANIA WAKISHINDA TUNATAKA TUPATE WASHINDI WENGI TANZANIA IJULIKANE ZAIDI
Kwani Uganda ndio ilimfikisha Dai, alipo.
Dada usitukane wakunga na uzazi ungaripo......au tuseme usitukane mamba kabla ujavuka mto...
Utabaki kuwa baby mama siku zote kama huna Akili .....Wacha kuongea pumba wee Zari.. msonyoooooooooo!!!!!!!!!
Post a Comment