@msemajimkuu: "Jamani penye ukweli wacha ukweli tuuweke wazi, ni kweli tunahitaji vijana bungeni lakini wabunge wanajua impact ya kuacha wasanii wajitokeze kwenye kuwania viti? Kuna watu singida wakimwona @wemasepetu wanalia kwa furaha, unahisi mtu kama huyo atasikiliza wema anasera ipi? Yeye si ataenda moja moja kumpigia kura? Na wema akishapata tunategemea @wolperstylish atagombea @elizabethmichaelofficial atafatia je mnatutaarishia bunge la aina gani hapo baadae? Do u people have any idea impact ya wasanii katika society yetu? How do u intend to maintain that? @diamondplatnumz akirudi kwao kigoma mnadhani hatochukua kiti? Kuna nchi yenye wasanii wakubwa kama marekani lakini mbona hichi kitu wao hawakichukulii poa? Iwaje nchi masikini yenye viongozi wabovu kama Tanzania waruhusu jambo hili? Kwa manufaa ya nani?
Vyama vya siasa acheni kutumia wasanii pasi na kuona mbali ili mpate kura na umaarufu the impact is way bigger than that. Yes we need women in the system but we need strong, driven women with capacities and qualities of a good leader, msituambie she had a dream and she is pursuing it this is not an exam it's not about her dreams here its about us, wananchi! Wema nampenda sana lakini mnajua Kuna watoto wa kike wangapi baada ya hili wataona shule haina maana ila uzuri, scandal chafu na umaarufu vinaweza kuwatoa? Ndugu zangu ifikie wakati tuseme sasa basi, inatosha! Ni hayo tu"
@msemajimkuu: "Na imefikia wakati sasa tuache uwongo!marehemu anapofariki hua tunamsifu kwa mema yake kipenzi chetu Amina mungu amlaze mahala pema peponi! Ila unaposema mbona Amina aliweza, Amina aliweza alifanya nini?kusema atawataja wauzaji unga? Kwani hiyo si ni nyimbo kila mbunge hutuimbia? Amina was driven,beautiful gave us a good taste of the parliament ila ukweli ulowazi ni Amina alikua kama mbunge mwengine tu yeyote mrembo wa viti maalum alioko sasa, she did nothing watanzania inatosha sasa waliopo wanahitaji kutolewa kisha tuongeze mengine? CCm wanachama tumechoka uwt tafadhalini fanyeni maamuzi sahihi"
Anony wa kwanza asante, nataman hizo fikra zako ziwafikie walengwa na wakuelewe. Mim naumwa tumbo nkifikiria wema kukaa bungeni, tutatafutiana kesi jaman tufungwe bure.
HAMNA LOLOTE WOTE APO JUU WACHA AENDE MUONE KAMA ATASHINDWA AU LAH. MPENI NAFASI. HAO MNAOWAONA WA MAANA MBONA SHILINGI KILA SIKU INAZIDI KUPOROMOKAAAA. LET WEMA BE.AKIFIKA KULE AKASHIDWA NDIO UJE APA UANDIKE GAZETI
Chukua hii kama ulikuwa hujui Wanasiasa wa nchi zilizoendelea kama ana kashfa anapiga chini madaraka au hastahili kabisa kushiriki.Ukiona mwanasiasa anakashfa na bado anatumikia wananchi basi hiyo kashfa ilipikwa( alibambikwa, kuchafuana) haina ushaidi Na hata kama mwanasiasa huyo akiingia madarakani haingi kujaribu wala kutimiza ndoto zake za mchana alizoota( ndoto kila MTU anauwezo wa kuota). Anaingia madarakani kutumikia wananchi ( ndio maana wenzetu huwezi sikia MTU kapiga mkwanja was escrow)
Kwa Africa wengi wanataka madaraka ingali wanakashfa zilizothibitishwa na ushaidi tunao.na malengo yao waingie madarakani wajilimbikizie, wauze sura, wawakomoe wabaya wao.( hawapo kwa maslahi ya wananchi labda marafiki wanao wabeba ) Ni aibu kuona kijana ana support MTU asiyejielewa kisa eti mwache akajaribu(Bunge sio mafunzo ya baskeli za Anita kila msukuma anaendesha) Kumpa MTU uongozi wa nchi ni sawa na kumpa uhai wetu. MTU hawezi kujiongoza yeye na Watu wawili wanaomzunguka( hawezi kuongoza jimbo moja) atawezaje kuongoza nchi.
Kweli nimeamini anayeua Tanzania ni MTanzania mwenyewe
Sasa Wema anapimwa vipi kuonekana anaweza? Zaidi ya scandal na movies nini hasa is she bringing to the table? Ivi UWT mmelala? Kuitumikia nchi yako si lazima uongoze.
Acheni kelele kama Kengele, kujitokeza hamtaki na wakijitokeza wenzenu pia hamtaki.
Eti Wema ana Kashfa, ni kashfa gani hiyo aliyonayo kuzidi kashfa za watu wengi? Kaiba pesa za serikali? Kuna watu wana kashfa tangu kula pesa za EPA, Richmond na sasa za Escrow na wanasimama ulingoni mnawapigia makofi. Ni ipi hiyo kashfa ya Wema inayofikia hapo ilipo?
Kingine eti Wema ni malaya kisa tu anaweka mahusiano yake wazi. Lakini kiukweli Wema hana umalaya wowote ukilinganisha na watanzania wengi ambao wanafanya mambo yao kisiri siri. Utakuwa mwanaume yuko ndani ya ndoa ana mke na huku ana vimada kibao anawanunulia magari na kuwapangia nyumba kwa pesa za wizi za serikali au za kuuza madawa ya kulevya. Au utakuta mwanamke ana mume wa ndoa lakini ana michepuko yake pembeni ameipanga kama mizigo ya kuni lakini wote hao hawajioni kuwa wao ndio malaya. Ukiwalinganisha majority ya Watanzania Wema ni mtakatifu hana umalaya wowote kwa sababu hana kashfa ya kuwapanga foleni wanaume wakiwa wote wapenzi wake kwa wakati mmoja. Anaachwa au anaacha ana move on with her life with another man sasa kosa lake hapo liko wapi?
Leave this girl alone hamna lolote ni wivu tu unawasumbua hao walioko kwenye Bunge wengine tukitaja habari zao hapa hakutakalika, leave her alone abeeg oooh.
CHA AJABU WEMA IS WEMA NA WEWE ANONIMUS WEKA JINA LAKO TUKUJUDGE KULIKO KUJIITA MSEMAJI MKUU ILI KUWE NA FAIRNESS.
Siku zote huwa nawaambia wanzangu hapa watanzania akili Zao ni finyu kweli kweli na kama kuna mtu anabisha aseme nimuoneshe kuwa akili za watanzania ni finyu watanzania bado wanaiamini CCM kwa kila kitu na Wema kuwa mbunge sio jambo la ajabu kwani wanao ongoza nchi watamuweka kwenye bunge kwanini kwa sababu watanzania AKILI ZAO NI FINYU wamesha rizika na maisha yao wanayoendeshwa na chama chao cha CCM.
10 comments:
@msemajimkuu: "Jamani penye ukweli wacha ukweli tuuweke wazi, ni kweli tunahitaji vijana bungeni lakini wabunge wanajua impact ya kuacha wasanii wajitokeze kwenye kuwania viti? Kuna watu singida wakimwona @wemasepetu wanalia kwa furaha, unahisi mtu kama huyo atasikiliza wema anasera ipi? Yeye si ataenda moja moja kumpigia kura? Na wema akishapata tunategemea @wolperstylish atagombea @elizabethmichaelofficial atafatia je mnatutaarishia bunge la aina gani hapo baadae? Do u people have any idea impact ya wasanii katika society yetu? How do u intend to maintain that? @diamondplatnumz akirudi kwao kigoma mnadhani hatochukua kiti? Kuna nchi yenye wasanii wakubwa kama marekani lakini mbona hichi kitu wao hawakichukulii poa? Iwaje nchi masikini yenye viongozi wabovu kama Tanzania waruhusu jambo hili? Kwa manufaa ya nani?
Vyama vya siasa acheni kutumia wasanii pasi na kuona mbali ili mpate kura na umaarufu the impact is way bigger than that. Yes we need women in the system but we need strong, driven women with capacities and qualities of a good leader, msituambie she had a dream and she is pursuing it this is not an exam it's not about her dreams here its about us, wananchi! Wema nampenda sana lakini mnajua Kuna watoto wa kike wangapi baada ya hili wataona shule haina maana ila uzuri, scandal chafu na umaarufu vinaweza kuwatoa? Ndugu zangu ifikie wakati tuseme sasa basi, inatosha! Ni hayo tu"
@msemajimkuu: "Na imefikia wakati sasa tuache uwongo!marehemu anapofariki hua tunamsifu kwa mema yake kipenzi chetu Amina mungu amlaze mahala pema peponi! Ila unaposema mbona Amina aliweza, Amina aliweza alifanya nini?kusema atawataja wauzaji unga? Kwani hiyo si ni nyimbo kila mbunge hutuimbia? Amina was driven,beautiful gave us a good taste of the parliament ila ukweli ulowazi ni Amina alikua kama mbunge mwengine tu yeyote mrembo wa viti maalum alioko sasa, she did nothing watanzania inatosha sasa waliopo wanahitaji kutolewa kisha tuongeze mengine? CCm wanachama tumechoka uwt tafadhalini fanyeni maamuzi sahihi"
Yote haya ni tamaa ya ruzuku, ivi sasa nchi inahitaji maombi ya Yesu au Mtume mwenyewe. imeoza kabisa
Anony wa kwanza asante, nataman hizo fikra zako ziwafikie walengwa na wakuelewe. Mim naumwa tumbo nkifikiria wema kukaa bungeni, tutatafutiana kesi jaman tufungwe bure.
Well said ukweli mtupu
HAMNA LOLOTE WOTE APO JUU WACHA AENDE MUONE KAMA ATASHINDWA AU LAH. MPENI NAFASI. HAO MNAOWAONA WA MAANA MBONA SHILINGI KILA SIKU INAZIDI KUPOROMOKAAAA. LET WEMA BE.AKIFIKA KULE AKASHIDWA NDIO UJE APA UANDIKE GAZETI
Chukua hii kama ulikuwa hujui
Wanasiasa wa nchi zilizoendelea kama ana kashfa anapiga chini madaraka au hastahili kabisa kushiriki.Ukiona mwanasiasa anakashfa na bado anatumikia wananchi basi hiyo kashfa ilipikwa( alibambikwa, kuchafuana) haina ushaidi
Na hata kama mwanasiasa huyo akiingia madarakani haingi kujaribu wala kutimiza ndoto zake za mchana alizoota( ndoto kila MTU anauwezo wa kuota).
Anaingia madarakani kutumikia wananchi ( ndio maana wenzetu huwezi sikia MTU kapiga mkwanja was escrow)
Kwa Africa wengi wanataka madaraka ingali wanakashfa zilizothibitishwa na ushaidi tunao.na malengo yao waingie madarakani wajilimbikizie, wauze sura, wawakomoe wabaya wao.( hawapo kwa maslahi ya wananchi labda marafiki wanao wabeba )
Ni aibu kuona kijana ana support MTU asiyejielewa kisa eti mwache akajaribu(Bunge sio mafunzo ya baskeli za Anita kila msukuma anaendesha)
Kumpa MTU uongozi wa nchi ni sawa na kumpa uhai wetu. MTU hawezi kujiongoza yeye na Watu wawili wanaomzunguka( hawezi kuongoza jimbo moja) atawezaje kuongoza nchi.

Post a Comment