AUNTY NUNUUUUUUUUUU HAHAHHAHA,,,
WITH MY TOTO JJ,,
WAKATI TULIENDA KUTEMBELEA MASHAMBA YA MOMMY DEAREST,,
HONGERA MAMA KWA HILI NA KUTUHIMIZA NA SISI WANAO TUNUNUE MASHAMBA NA VIWANJA,,
KWA MARA YA MWISHO NAWASIHI HUU NDIO WAKATI WA KUNUNUA VIWANJA MAANA ITAFIKA WAKATI SISI KAMA WATANZANIA HATUTAWEZA KUNUNUA MAANA HAWA WAGENI WANANUNUA KAMA HAWANA AKILI NZURI NA WANAWATUMIA WATANZANIA TO DO SO,,
BAADAE WATAKUJA VIUZA BEI NYIE WENYEWE MTACHANGANYIKIWA
TANZANIA NI NCHI BADO UNAWEZA NUNUA KIWANJA FOR A REASONABLE PRICE,,TRUST ME ON THAT ONE NA KAMA HAUNA MAKUU BASI UTAPATA VYA BEI NZURI TUU HATA KAMA HUNA HELA YA KUJENGA SASA HIVI NUNUA TU,,
DONT SAY THAT I DID NOT TELL YOU KUAMKA NA KUCHUKUA HATUA,,
ARDHI HAISHUKI BALI HUPANDA,YOU KNOW YOU LOVE ME,XOXO!!!
2 comments:
Ndo maana nakupenda Nuru, good advice kwa kweli waswahili wanakwambia kizuri kula na wenzio, huna roho ya kuntu mdada wewe si binaadamu wote wenye roho kama yako Nuru, mungu akujalie kila la kheri na kila utakalo liwe Inshaallah.
AMEEN INSHALLAHHHHHHH,,,
Post a Comment