Genuine Nordic Vodka
Monday, May 25, 2015
KUNA WATU WAKAVU DUNIANI SIJAPATA KUONAI!!!
NAMNUKUU NAKUMBUKA SANA MLIPOJITOA KWA AJILI YANGU.....EEEEH WAKATI UNALALA KITANDA KIMOJA NA X WA FLAN BADO HUWA UNAMKUMBUKA??
UNAPOKATAA KWENYE KIPINDI CHA SPORAH LIVE KABISA BADO UNAKUMBUKA??
NAOMBA MNIELEWE KITU KIMOJA KUWA HATA SIKU MOJA SI-SUPPORT MWANAMKE YOYOTE YULE DUNIANI ATEMBEE NA MUME WA MTU AU DUME ATEMBEE NA MKE WA MTU HATA UWE NANI,,
BUT WHAT I HATE THE MOST IN THE WORLD NI FAKE FRIENDS AND TRUST ME HATA MIMI NISHATENDWA NA MARAFIKI NA KINACHONIUDHI ZAIDI YA LOLOTE NI PALE WAKITAKA KUPLAY THE VICTIM PART NA KUJITOA FAHAM MAMBEGELEZZ,,
KUNA MENGINE NAYAJUA WACHA TU NIKAE NAYO KIFUANI KHAAA,,
KAMA UMEAMUA KUWA MWIZI BASI OWN UP TO IT KUBALI TU YAA MIMI NI MWIZI FULL STOP TUSUBIRI AROBAINI ZAKO USHIKWE,,
YAANI WAKATI NAISOMA HII POST MWILI ULIKUWA UNASISIMUKA DEAR GOD,,
SHETANI ANA SURA YA BINADAMU WALA MSIJIDANGANYE KUWA NI MNYAMA,,
MUOMBE MUNGU KILA SIKU AKUPE WATU WEMA,WAKUJALI,WAKUPENDE,WAKUTHAMINI,WAKUHESHIMU NA KUKUOKOTA SIKU UTAKAPOHITAJI MSAADA WAO.
SIJIVISHI TAJI LA KUHUKUMU KWANI HATA MIMI NITAHUKUMIWA ILA PALIPO NA UKWELI WACHA TUU TUONGEE,,
UNAAMBIWA TENDA WEMA NENDA ZAKO LAKINI MWENZIO ALIKWENDA BEYOND THAT AND MORE AND FOR THAT MUNGU KAMPA FUNGU LAKE,,NIMEMALIZA.COM!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
12 comments:
Thank you nuru. Heri mchawi kuliko mnafikii
Everyone deserves a second chance. She wants to make it right because obviously she knows what she did hurt her friend. It's up to Wema to accept or deny her apology. She only owes that apology to her, not the public. You sound judgemental. Hivi unataka kuniambia you have never been the cause of pain to another human being in your entire life?
WANAOTETEA NI WALE WALE MAANA THIS IS CRYSTAL CLEAR,,INLIFE YOU EITHER STAND FOR SOMETHING OR DONT STAND AT ALL!!!
MNAFIKI HASA WEMA AMSAMEHE LAKINI KUWA KARIBU ITS A NONONONONONOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Seems Nuru yalikukuta yalomkuta Wema mimi ni team wema damuni kabisa nampenda Wema vibaya mnooo!!!!!!!!!!!!!na kiukweli nilimchukia sana Kajala coz nakumbuka Wema mwanzoni alikua anakataa katakata akiambiwa kuwa Ck anatoka na Kajala, upuuzi wa Kajala ni kuwa alikubali kutumiwa kumuumiza Wema which she did mbona wema haikumuuma ck kutembea na Yule Naima?coz naima hakua karibu kihivyo kwake kama ilivyo kajala na kuonesha kua wema aliumia sana ni ile cku kwenye in my shoes avokua anaulizwa na martin wema kaumizwa sana na Kajala ILA JAMANI TWENDE MBELE TURUDI NYUMA KAJALA SASA NAMUONEA HURUMA NAHISI KAMA KWELI ANAUMIZWA NA ALICHOKIFANYA,,KILA INTERVIEW MWENYEWE ANASEMA ANAMPENDA SANA WEMA MI NAHISI NI TAMAA TU ILIMPATA ALIHISI ATAPATA MAISHA KAMA WEMA KWELI NAMUONEA HURUMA NATAMANI WEMA AKUBALI,,NURU KAJALA KUKUBALI HADHARANI AIBU HATAWEZA KUKUBALI ILA KWA KAWAIDA TUNAONA KABISA ANAVOHANGAIKA KUOMBA MSAMAHA Y YEYE NDO AWE ANAJISHUSHA KILA SIKU?APEWE SECOND CHANCE JAMANI
yani she refuses to take responsibilities of her actions kisha anaomba msamaha? i be damned! but ts wema, watch her sorting it out
THANK YOU KIMIE MY POINT EXACTLY,,,
Wema, Wema, Wema nakuita mara 3 unisikie wewe Binty mrembo.
You can never edit the truth my dear. Huyo Kajala kama ana mapenzi ya kweli na wewe, wakati Aunty anafanya Baby shower yake, basi ungemwambia kwa kuwa mie na Wema haziivi naomba nisije, lakini zawadi yangu nitaileta. Hivi alikuwa anafikiri Wema angeweza kwenda kwenye baby shower ya Aunty wakati wewe akiwepo? Achilia mbali hilo la kutembea na CK ni dogo kubwa la kutoa picha za mama Wema za kugushi kwenye mitandao. Hivi anafikiri atamtazamaje yule mama usoni.
Wema ukiwa na marafiki kama Kajala unafubaa na unakosa Nuru, kwa sababu marafiki wa aina hii ni ENERGY VAMPIRE wako kunyonya energy yako. Hebu kuwa kivyako vyako kwanza huwahitaji hao marafiki wao ndio wanakuhitaji kama CHAJA YA SIMU ILI WAJE KUONGEZA CHAJI KWAKO.
Mwisho Wema jiulize why now Kajala anataka kurudi kwako? Ameona kitu gani kwako ambacho kitamnufaisha ndio anajirudisha tena in public? Kama alitaka kuomba msamaha wa ukweli kwanini asikutafute in private akaongea na wewe WHY KWENYE PUBLIC kama sio kukublackmail uonekane wewe Wema mbaya hata ukiombwa msamaha hukubali. Na wapi kwanza kaomba msamaha zaidi ya unafiki wa kujidai anakumbuka Wema wako.
Wema huyu mwanamke anakuja kukumaliza kabisa, kwa sababu kwanza sasa hivi umekaa kimya mambo yako hakuna anayeyajua hivyo anajirudisha ili akuchote undani na ndio mwanzo wa kusikia zile story mbaya mbaya zote ambazo tulikuwa hatuzisikii muda mrefu tangu muacheni. HUYU MWANAMKE HAFAI KWA KULIA WALA KULUMANGIA, nimemsikia mwenyewe kwenye Millard Ayo mara kibao, hafai hafai hafai.
Wema unaweza kumsamehe huyu mwanamke ili upate faraja tu ndani ya nafsi yako lakini usimuweke karibu yako kabisa. Unaona ulivyopendeza kwenye tuzo za watu, ni wewe na team yako ya Endless Fame tu mama, piga kazi, chapa kazi MBWA MWITU tupa kuleee!
Ni mimi Dada Kubwa.
Why now, Lazima kuna timing yake kaweka mahala sasa kaona lazima awe karibu na Wema.
Wema alikwisha kusamehe, sema hataki kuwa karibu na wewe....
Love u Nuru....Umemaliza . LoooooL!!!!
Tumuogope Mungu jamani tusipende kuchochea kuni kwenye moto. Wanawake tupendane tuwache ushabiki maandazi, Sikuona tatizo la Kajala kuomba msamaha kwa Wema huo ndio uungwana kwani anaonyesha kuwa inside her hana amani na hii kuandika huu msamaha kumempa amani. Yaliyobaki tumuachie wema.
hata huyu kajala mi sijamuelewa anamuomba msamaha wema kuwa huyo bwana ni mume wake wote wezi tu na wote tabia mbovu amuombe msamaha kisa labda akamuombe mke wa CK. YANI WEMA NA KAJALA WOTE WEZI SO WAANDAMANE WAKAMUOMBE MKE WA CK MSAMAHA CYO WEZI WAOMBANE MSAMAHA
Ila jamani kuwa rafiki wa Wema inataka moyo sana. Na kwa tabia zake ataendelea kuwa hivyo hivyo wa kugombana na rafiki zake. Kwanza anapenda awe na rafiki wataokuwa chini yake. Yani awe yeye ndo boss. Akubebeshe pochi.. umfate fate.. yani uwe kama kijakazi wake. Pili, akuchagulie na bwana wa kuwa nae. Sisi kwetu tunaita kushentekwa!!! Akushenteke kwa kibwana uchwara. Ukiwa nae kwa mfano halafu wewe uwe na Petit utaona furaha yake, au mcheza show wa Ex boyfriend Dai.. utaona atavyokuwa na furaha na kuwarusha Instagram. Kwa kweli kuwa nae as a friend inahitaji moyo wa chuma. So kuexpect yeye awe rafiki wa Nancy Sumari haitakaa itokee. Anataka watu wa chini yake. Pia kwa jinsi alivyokwishajiweka (kiswazi) hawezi kuvutia marafiki wa design ya kina Mke wa Mzee Machache. Period
Post a Comment