this zari gal has zero sense of fashion....nguo zake zote ni mipiramipira all the time,geez!!!! dont get me started on the hair....uwiii, what a letdown.!!!!!
MONDAY NTAFANYA REDCARPET NAJUA BY THEN ILL HAVE ALL THE PICTURES THEN NITAONGEA YOTEE KAMA KAWAIDA YANGU NIKIFANYA REDCARPET REVIEW FOR NOW NAWAACHIA WADAU,,,
Huyu Faiza Ali na yeye awache ujinga, sasa ndio kivazi gani kavaa, lol, Rihanna wanna be!! Kaazi kweli Zari kuvaa Ziro ata mama diamond south alimfunika. Tunakusubili Darling Nuru tuone mambo monday. thanks
Sasa hilo bango huko nyuma la maboksi kama wako kwenye maandamano ya Mei Mosi la kazi gani? Party imekaa kiswaziswazi na kishari zaidi, inavyoelekea watu walipania sana duh!
7 comments:
this zari gal has zero sense of fashion....nguo zake zote ni mipiramipira all the time,geez!!!! dont get me started on the hair....uwiii, what a letdown.!!!!!
yaani na promo yote hiyo ndo anavaa hivi? kweli kupendeza damu ya mtu
MONDAY NTAFANYA REDCARPET NAJUA BY THEN ILL HAVE ALL THE PICTURES THEN NITAONGEA YOTEE KAMA KAWAIDA YANGU NIKIFANYA REDCARPET REVIEW FOR NOW NAWAACHIA WADAU,,,
Nasumiria nuru kwa Hamu ����
Huyu Faiza Ali na yeye awache ujinga, sasa ndio kivazi
gani kavaa, lol, Rihanna wanna be!! Kaazi kweli
Zari kuvaa Ziro ata mama diamond south alimfunika.
Tunakusubili Darling Nuru tuone mambo monday. thanks
Sasa hilo bango huko nyuma la maboksi kama wako kwenye maandamano ya Mei Mosi la kazi gani? Party imekaa kiswaziswazi na kishari zaidi, inavyoelekea watu walipania sana duh!
Mdau, Zari kuvaa nguo za mpira mpira ni Fashion ya Waganda, wanapenda kweli hayo mapiramipira yao Arrghhhhhhhhhhhhhhhhhh..
Post a Comment