Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, May 1, 2015

VOILA!!!






7 comments:

Anonymous said...

this zari gal has zero sense of fashion....nguo zake zote ni mipiramipira all the time,geez!!!! dont get me started on the hair....uwiii, what a letdown.!!!!!

Anonymous said...

yaani na promo yote hiyo ndo anavaa hivi? kweli kupendeza damu ya mtu

NURU THE LIGHT said...


MONDAY NTAFANYA REDCARPET NAJUA BY THEN ILL HAVE ALL THE PICTURES THEN NITAONGEA YOTEE KAMA KAWAIDA YANGU NIKIFANYA REDCARPET REVIEW FOR NOW NAWAACHIA WADAU,,,

Ruky said...

Nasumiria nuru kwa Hamu ����

Anonymous said...

Huyu Faiza Ali na yeye awache ujinga, sasa ndio kivazi
gani kavaa, lol, Rihanna wanna be!! Kaazi kweli
Zari kuvaa Ziro ata mama diamond south alimfunika.
Tunakusubili Darling Nuru tuone mambo monday. thanks

Anonymous said...

Sasa hilo bango huko nyuma la maboksi kama wako kwenye maandamano ya Mei Mosi la kazi gani? Party imekaa kiswaziswazi na kishari zaidi, inavyoelekea watu walipania sana duh!

Anonymous said...

Mdau, Zari kuvaa nguo za mpira mpira ni Fashion ya Waganda, wanapenda kweli hayo mapiramipira yao Arrghhhhhhhhhhhhhhhhhh..