FAIZA:Ilikua kawaida sana .... sio kivileeee nacho taka kusema bila kuficha kwa watu ambao nilikua karibu nao waliboreka! Halafu tukajikuta tuna miss madamu WEMA hata mm niliona kwamba angekuwepo WEMA pale huenda ingekua tofauti! WEMA anapendwa na watanzania sana nikichoona Jana ni kwamba mizuka maandalizi kawaida sana sikuona iyo historia au nilicho kifurahia sana au labda nilikua nimepania au labda nilikua nafikiria kitu tofauti lkn cha msingi ni kwamba WEMA anapendwa bado akifanya chochote watanzania watasapoti kwa namna yoyote .... Any way kiufupi nilicho enjoy ni nguo zangu na picha lkn the rest mmmmhhhh!
RACHEL;Good morning Igers.
Sitaki kua mnafiki wala mpashukuna na kuhusu Zari all white party.
Kusema ukweli it was not that excited as what people have thought.
Imenisikitisha sana wale waliolipia ticket za 100k walikua hawana tofauti na wale waliolipia elfu 50. Cha kushangaza wale waliolipia 50 ndio walikua wana access to the stage and best viewing point unlike the 100k. Nakubalina mia kwa mia na @faiza_ally kwa alichokisema. Unaambiwa hata service ilikua mbaya kupitiliza. With that 100k kulikua hakuna hata incentive on the table kama some free bucket of beers and soda. Kwa watu kama sisi tusiokunywa pombe kali walahi bia ilikua ni matatizo kwani niligeuka nikawa member wa dawasco. No champagne no wine bali marukaka yalikua yamezagaa. Kwa ujumla nataka kusema watu walipendeza sanaaaaaa lakini the management arrangement was full of CRAP.
Wasichana wengi walivua viatu kwani kulikua hakuna viti. Mbaya zaidi AC zilibuma joto kali na isotoshe wale wavuta sigara walivutia ndani ya ukumbi. To say the truth it wasn't all as it was highly expected. Hopefully next time watajipanga and not make a mess like this again. Ujumbe uwafikie wale wote unaowahusu.
7 comments:
Hapo kwenye sigara, nakusapoti rachel..nachukia icho kitu, sijui waandaji wanakuwaga na matatizo gani mtu ukitoka hapo unanuka masigara kuliko mvutaji kama walifanya ivyo nawapa 30% ya mia i hate sigara
IT WAS OVERRATED NAWATANZANIA TULIVYOWANAFIKI TUTASIFIA TU JUST BECAUSE UNAOGOPWA KUSEMWA ATA LEAST THEY HAVE COURAGE TO SPEAK THE TRUTH NA SIO KUWA WANAFIKI. MI PIA NILIANGALIA ONLINE JAPO KWA TAAAABU BUT CKUONA CHA MAANA ZAIDI YA KELELE BIRTHDAY YA DIAMOND ILIKUWA MUCH BETTER THAN THIS.
Hahahahahah!!!!!
Pole kwa walio lipa pesa nyingi kwa kuambulia kupuliziwa
moshi wa SIgara.....
Wema Sepetu Tanzanian sweetheart!!!!!
Nilisema ndimu zitawahusu wenyewe...looool
Thanks beautiful Nuru , Rachel na FAiza kwa update
Ujinga mtupu wametuibia sie tuliolipa kutazama online wezi sana na sio fair kabisa, unatangazaje kitu watu wanalipia halafu ni magumashi matupu, siku nyingine mjipange na sio kuchukua pesa za watu for nothing Tanzania bado hatujakuwa na uwezo wa kuona kitu live online. Wema kitu Kingine kile jamani is Tanzania sweatheart lol.
hahahahahahahaha. Jamani, Bora mmesema kweli waungwana. Filimbi zoteeee zile kumbe walipanga tu kupiga hela halaf huduma mbovu,Mungu kawaonesha walipangaaaaa kumuumbua Wema, wameumbuka wenyewe!!!
Wapenzi Rachel ametoa review na ushauri kuwa pati ilikuwa na mapungufu na ni kitu kizuri sana, uhusino wa party ya zari na wema uko wapi,nani alisema kuwa amefanya vile kumkomesha wema?!
Yani yes Wema tanzania sweetheart mngeshabikia instagram party ya mwanza tu,ya zari mngeiacha kimya, tena isingepata promo kiviile.
Faiza seriously sitaki kuamini kuwa pati nzuri lazima awepo Wema tu,si binadamu mwingine.
Ushauri kwa mnaompenda Wema focus on her,ya nje hayawahusu na hayawezi simama ,sababu kila mtu na mipango ujanja bidii na bahati yake.
mwisho wa siku team Wema mnaonekana mna chuki tu, wakati mna nia njema naye.
narudia tena acheni kumpa attention mtu mnaehisi ana shida na wema,bali suppotini anachofanya Wema tu.
Sorry kwa gazeti.
anon wa 10;38am you said them all darling,kudossss!!! team wema supportin ya wema,zari muacheni afanye yake!!! nyi mnaponda mwenzenu anaingiza mijihelaaa... wabongo tubadilike sasa!!!
Post a Comment