EDO KUMWEMBE SAID BUT THEN THEN THE BONGOMOVIE COMMUNITY SAID!!!
EDO KUMWEMBE UMETUKOSEA SANA WASANII HUWEZI KUROPOKA OVYO OVYO KIASI HICHO HUKO NI KUDHARAU TASNIA YA FILAMU NA SISI WASANII PIA KUWA HATA TUPEWE TILIONI HATUWEZA TENGENEZA FILAMU NZURI WEWE KATIKA SHUGHULI YAKO YA UANDISHI UMEFANYA KITU GANI CHA MAANA TUNASHUKURU SANA ILA NI VYEMA KUFIKIRI KWANZA KABLA YA KUTENDA NADHANI HUJUI KUWA KUNA FILAMU NYINGI TU ZIMEPATA TUZO HILO HULIJUI,,,
4 comments:
Ukweli mtupu
Makubwa watanzania kwa kurudishana nyuma loooooh .
Wanachelewa Maisha kwa kutafsiri wenzao
Sijui tumeumbiwa MOTO TU . ��
Ungewatakia mafanikio oil nawe ufanikiwe
NA WEWE NAWE BABA ZIMA UNAJIBU UKWELI MTUBU. Akita zenyewe Tabu huwenda mwanao au mama yako akaingia bongo movie.Mfyuuuu
mjirekebishe tu, wala msigombane
Post a Comment