Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Saturday, March 28, 2015

FAIZA SAID!!!


Watu bwana mnaona mimi kusema nataka sex ni kama bonge la issue # Mnajua kama Nina zaidi ya mwaka sina mtu wa kufanya nae ? Okay Nina mwaka na sasa unaelekea mwezi wa 4!!! Kama kijana nahitaji tena zaidi ya sana # okay kuna walio nishangaa na kunichukilia wanavyo taka wengine wamesema hawata nieshimu tena - mm Nasema it's all good hamna neno # huyu ni mimi n am being me sasa Kama unanpenda nipende tu‪#‎ntakupenda‬ pia ukinichukia hiyo tena ni shida yako 

SO I WANT TO UNDASTAND SOMETHING HERE KUWA TATIZO NI NINI??
IS IT BECAUSE IT!S A WOMAN WHO SAID KWAMBA ANATAKA KUFANYA MAPENZI AU TATIZO NI MTANZANIA WHO SAID IT,,

3 comments:

Anonymous said...

i'm thinking both. It's almost not allowed for a woman to embrace her sexuality, ... men can cheat and that's all good coz they are men, almost what's expected of them but a woman is a big no no. More power to her!!

Anonymous said...

Wote wanawake na wanaume wanapaswa kuwa na staha! Hapo Faiza amekosa staha na pia hata angekuwa mwanaume ndiyo kaandika hivyo na yeye vile vile angekuwa amekosa staha! Hakuna binadamu mkamilifu lakini si vyema kuwa proud kufanya maovu

Anonymous said...

no self-respecting person puts their hoochie issues on blast especially on social media. it's not cool to have your coochie be a topic of discussion among many. plus what is writing this on social media going to help? go out there and do the do if you please. yes the fact that this is not in our culture esp with women, but i have hard time believing a Tanzanian man on social media would get away with it too. may be easier but definitely would be a topic for discussion.