Is there anything else happening in Tz? Like what is the government doing about uwanja wa fisi, what are you and I doing about that? Any news, please....
Jamani nuru tumechoshwa na huyu mwanamke.she either owns up n gve bak the crown shiz olredi got the 15minutes of fame she wantd.tumechoka kumskia kila leo hadi kero...the thing is she wunt go far.yani ha end is hea before ha beggining...
Mie ni katika ambao nilisema tusamehe aendelee Kuwa Miss Tanzania kwa kusema kosa lake lipo kwenye Age na nishawahi kuweka Comment ila sikuzikiliza ile au kutizama ila video yake na Lundenga na Mama yake Sitti nilisoma maelezo, ila baada ma siku kutizama dah kila kitu ni uongo alijiweka kwenye matatizo na anaonekana ni mjeuri pia Jeuri ndio imeumaangusha. ex miss temp tanzania 2014-15 ukiwaacha Cheti kutengenezwa Karibuni anaonekana alitaka Kuwa maharufu Tanzania ukichunguza Baba yake nyuma ya Miezi ya Kuwa Miss Tanzania alikuwa anamuweka kwenye msaada ya kusaidia wasiojiweza ilikuwa plan kwajili ya Miss Tanzania. Watanzania wanasamehe ila Sitti Mtevu ajirekebishe kutokuwa jeuri Mbele za watu pia akijivua taji na Lundenga pia ajitoe na Kamati sasa ijifunze kufanya kazi inavyotakiwa akiendelea Kuwa jeuri hatoishi na wanadamu wa Kitanzania vizuri. MZ
We Mdau wa pili nakujibu swala la sitti linagusa maeneo nyeti kwenye Jamii yetu , Rita na Uhamiaji , We need to know what is going on ? how come one person use different Birthcertificate within the Country ?? So nawashangaa Mnavyoona hili swala ni la kipuuzi No No si la kipuuzi hata kidogo ! Ndio Maana hata Wanyamulenge wanapass za Tanzania ! Acha tuongee
sio umri tu hata urembo hana,look yake sio yakimiss kabisa,,tafadhali kama ajavua bora alivue maana tutakachomfanyia physical ni kibaya kuliko alivyotarajia!!!!!na lndenga huwa ananyanyasa sana kwa ajili ya washiriki kushinda infact ni rushwa.
7 comments:
Sio kweli wameshakanusha.
Is there anything else happening in Tz? Like what is the government doing about uwanja wa fisi, what are you and I doing about that? Any news, please....
kwa sasa niko SWEDEN NADEAL NA WINTER,,JE CHENGINE!!!!
HAHAHAH I KNEW IT!!AHSANTE MDAU WA KWANZA MUCHO MUCHO GRACIAS,,

Post a Comment