Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Saturday, October 25, 2014

A NOTE FROM FAIZA ALLY!!!



Naomba kidogo nizungumzia haya mambo ya miss Tanzania kutokana na uzoefu wangu kidogo...mm nilisha wahi kuwa miss Tabata number 3 na nikaenda Ilala na pia nilisha shiriki Mara kazaa Dodoma ... Kwa kifupi mimi sishangai sana kuhusu sitti kupewa taji kwa njia ambayo si halali kwa sababu Mara nyingi warembo wanao shinda huwa wana jijua na wanapangwa... Mfano mzuri baada ya mimi kushinda miss Tabata nilipo enda Ilala kalikumtima muandaaji aliniambia kuwa Kama ningekua karibu na waandaaji ninge shinda kwa kweli sijamuelewa kabisa kwa nn alitumia hiyo kauli... Pia mshindi wetu wa miss Tabata alikua anatembea na mdhamini wetu... Tatu kuna tofauti unaona hasa wakati wa mazoezi kuna warembo huwa wanawekwa sana karibu na waandaaji kuliko wengine na inatokea wao ndio washindi ! Na katika mashindano niliwahi kushiriki wanashinda watu ambao hutegemei na hawana vigezo kwa hiyo kwa mimi hili sioni ajabu sema lime bainika tu Lkn mtindo wa uchakachuaji upo tu na utaendelea kuwepo... Kifupi Kamati ya miss Tanzania ni mbovu huwa haitende haki na si wao tu kuanzia chinni ...... Kwa mfano hapa juzi nilimsikia wema redioni alisema aliombwa kushiriki na akaambiwa atakua miss Tanzania ... Sasa jiulize unapo ambiwa hivyo na warembo wengine wapi kwenye mashindano hapo inaleta picha gani ??? Mna ndio maana warembo hawajitokezi kwa sababu hakuna haki .... Binafsi mimi sio sitti tu kuna warembo wengi ambao siwakubali na ninao wakubali ni wachache sana sizani Kama wanazidi watano... Lkn wa kwanza miss Tanzania ninae mkubali kuliko wote ni Happiness Magesa wengine ni kufikiria


4 comments:

Anonymous said...

I told u nuru happinessagesa a.k.a millen is a model who carries herself wit so much dignity.huwezi msikia na scandal za kijinga.na tena ana jiamini na kujituma sana katika kazi zake.kingine she is a gud ambassador for our country..

Anonymous said...

Kama Mwanaume Happiness ni katika ma Miss wa Kitanzania wachache waliokuwa Kabla kuwaheshimu watu anajiheshimu na roho yake anaonekana tu hasa nilivyosoma story yake moja ilinigusa sana naamini mungu akipanga siku nitakutana naye na mengi ya kuongea naye. MZ

Anonymous said...

umenena Fauza sikujui ila bora umeweka wazi nakereka sana na haya mambo ya miss Tz. Millen she was de best look where she is now ? God bless her ! sio kina wema mascandal ya upuuzi kila siku

Unknown said...

millen amefanya surgery nyingi zakujimake beauty zaidi ila kwa mimi ni odemba!!!ila faiza bora urudi hk ukaendelee na shughuli zako.