MANENO KUTOKA KWA DIAMOND PLATINUMZ,JANA ALITAKIWA AFANYE SHOW LONDON SASA SIJUI NINI KIMETOKEA!!!
tafadhari ndugu zangu wa UK!!!....kuweni makini sana na promoter huyu (Victor - Dj rule) mnaposikia kaandaa show, party au Hafla yoyote...ni vyema kuziepuka na kutohudhuria kabisa kwasababu ni tapeli.... si unajua aisifiae mvua imemnyeshea... basi mie nimeloa kabisa!
NA LEO ANATAKIWA KUFANYA SHOW STUTTGART YA BURE KWA WALE MAFANS WOTE WALIOKOSA THE LAST TIME,,LETS HOPE EVERYTHING WILL GO WELL!!!
5 comments:
ni shida tu.
Mungu amlinde D huko Germany
Ukweli wanasema huyu anadai dau kubwa sana na anataka alipwe kabla ya show ndio shida. Asipojiangalia ataendelea kuwalet down fans wake. Suluhisho 1) atafute lawyer atakaeweza kudraft contract za kumlinda haaswa kwenye show za majuu, 2) aache kujiona amefika saana na nyumbo zake, awe na bei zitakazomfanya competitive. Huku majuu japo wanakupenda lakini si rahisi kutoa kiwango kikubwa kuja kuangalia show zako. Muhimu ulijue hilo - mimi fan ninayekutakia mema
But kama promota anajua bei yake kwann umlete km uwezo huna hilo ni swali langu n cha pili hakuna msanii atakubLi lipwa after the show that era is gone,,
Kwa kukujibu Nuru ni kwamba Promoter anajua bei ya juu ya diamond, japo wanajitoa muhanga kucheza kamari wakiamini kuwa marketing ya nguvu wanayofanya kabla ya diamond kufika itawaleta fans wake kwenye Hall, na hapo ndio wanaweza kumaliza kumlipa. Sijui kama umenielewa. 2nd ndio hakuna mwanamusic atakayekubali kulipwa after the show but kama bei zao ni kubwa mikataba ya kimataifa itumike, ndo maana wanamshauri huyu aanze kutafuta lawyer kwa ajili ya nchi za majuu, ili makubaliano yao wasiwe over the phone ya include visible securities pia kama mkopa benki, unanipata mama. La sivyo atakuwa anapanda pipa bure na kupoteza wakati wake, 'since now he has become a bigger fish than the aquarium holding him, inabidi areview everything including finding high level promoters watakaokuwa na resources za kumlipa b4 the show na sio hao wa uchochoroni, mwisho atajitafutia maadui bure!
yaani umejibu vzuri sana i hope hata yy asome hii coment akuelewe n afanye marekebisho,,well constructive criticism natetemekaaaaa hahaah anon,,
Post a Comment