Genuine Nordic Vodka

Showing posts with label victordjrulebongo. Show all posts
Showing posts with label victordjrulebongo. Show all posts
Saturday, September 20, 2014
MANENO KUTOKA KWA DIAMOND PLATINUMZ,JANA ALITAKIWA AFANYE SHOW LONDON SASA SIJUI NINI KIMETOKEA!!!
tafadhari ndugu zangu wa UK!!!....kuweni makini sana na promoter huyu (Victor - Dj rule) mnaposikia kaandaa show, party au Hafla yoyote...ni vyema kuziepuka na kutohudhuria kabisa kwasababu ni tapeli.... si unajua aisifiae mvua imemnyeshea... basi mie nimeloa kabisa!
NA LEO ANATAKIWA KUFANYA SHOW STUTTGART YA BURE KWA WALE MAFANS WOTE WALIOKOSA THE LAST TIME,,LETS HOPE EVERYTHING WILL GO WELL!!!
Subscribe to:
Posts (Atom)