Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, September 26, 2014

KAJALA!S MOVIE PREMIERE,MBWAMWITU!!!

 KAJALA,,
 WITH DESIGNER MGESE,,
 WITH HER DAUGHTER PAULA,,
SAUDA MWILIMA INTERVIEWIG KAJALA,,
RAY VINCET KIGOSI KAPUNGUA SANA I ALMOST DID OT RECOGNISE HIM,,




 QUICK ROCKA,MECKY DIVA AND A FRIEND


IRENE PAUL,ZAMARADI AND DAYNA,,





 FLORA NA BABY MADAHA ILA NI YEYE KWELI AU NAMFANANISHA MAANA AMELOOSE WEIGHT SANA KAMA NI YEYE BUT SHE LOOKS NICE,,

 IRENE UWOYA,,

 BEN KINYAIYA,,

KWANZA NLITAKA NIFANYE REDCARPET BEST/WORST ILA NTAJIUMIZA TU KICHWA BURE,,
HIZI PICHA ZOTE UKIZITIZAMA ZITIZAME KWA JICHO LA TATU KUNA SOMO KUBWA SANA LA KUJIFUNZA KUHUSU URAFIKI NA MAISHA.
MAISHANI HUWEZI KUJUA LEO UKO HAPA KESHO UTAKUWA WAPI,,
KUNA MARAFIKI UKO NAO SASA HIVI KATIKA MAISHA YAKO BALI JUA WANATAMANI SANA MAISHA YAKO BALI WEWE HUTAMBUI HILO..
NA KUNA MWENGINE ANASUBIRI UANGUKE AKIMBILIE KWENGINE KWA MAANA YUKO KIMASLAHI,,
NA KUNA MWINGINE NI RAFIKI WAKO WA UKWELI ILA WEWE UKO BUSY SEARCHING MAGROUP YASIYOKUFAA,,
NILIIMBA WALIMWENGU NI WAZURI UKIWA NA MALI FROM A PERSONAL EXPERIENCE KWANI MALI IKIISHA WATU WOTE HUWAONI.COM
HII NI REALITY AMBAYO INAWEZA MTOKEA MTU YOYOTE SO TIZAMA,TAFAKARI THEN CHUKUA HATUA,,NIMEMALIZA!!!
PICHA ZOTE KWA HISANI YA WWW.DJCHOKAMUSIC.COM na MILLARD AYO

14 comments:

Anonymous said...

Nuru umeonaa eeh? Mie mwenyewe nilivyoona hizi picha sikuamini Wallahi, kumbe watu huwa wanasubiri una bwana gani ndio wanakuganda. Lakini Mungu ana njia nyingi za kutuonyesha sisi binadamu ukweli, ila huwa tuna macho na hatuoni na tuna masikio hatusikii.

Kibao kikigeuka sijui itakuwaje, maana Mungu humpa amtakae na humnyima amtakae, aweza kukupa leo kesho akachukua, na anaweza kukunyima leo kesho akakupa. Nothing is permanent in this world.

NURU THE LIGHT said...



watu wengi hawataki ukweli because given the situation na wao wangefanya hivyohivyo huo ndio ulimwengu wa leo

Anonymous said...

VERY TRUE!!
NA TUKIENDA KATIKA BEST AND WORST!! THE LIGHT WENGI WAKO WORST SIJUI UNGEPANGAJE ACHA LISEREBUKE TU.

BUT DUNIANI RAFIKI YAKO NI ALIYEKUTOA TUMBONI HATA AWE VIPI.

MAROGOOOOOOOOOO

Anonymous said...

Nawaza sana kuhusu hawa watu na maisha yao, nilichojifunza ni kua yule anayetamani maisha yako hawezi kua rafiki yako.

NURU THE LIGHT said...


You wud be suprise mdau wakti huuu wangapi wanaact kuwa rafiki ya mtu but in reality they are not,,

Anonymous said...

Mesage sent if not delivered

Anonymous said...

Da dada dunia imebadilika sana..kwa sasa wa kumuamin ni mama mzazi tu ila urafiki wa kibongobongo ni majanga....

Anonymous said...

Duuuh yaani urafiki wa bongo ni nomaa. Nimepata personal exprnce toshaaa ilinitokea mara mo1 tuu na ilikua fundisho tosha. Hitajirudia tena!!!!!!! KAJALA MAMA SASA HIVI UNAJIONA UKO JUU KAMA MWASHOKI LAKINI KUMBUKA NA TAFAKARI SANAAAA MAMAAAA.....MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA!

Anonymous said...

Mwenzangu yani ni utata mtupu

Anonymous said...

"There's something wrong with your character if opportunity controls your loyalty". Hii ni moja wapo ya quotes elfu kidogo ambayo nimeweza kuipata kwa haraka haraka tu inayoenda na hali niliyoiona kwenye hizi picha.
Nuru ni kweli mwaya ungejichosha tu kufanya hiyo best and worst maana Duh yani zilivyonyingi hovyo hovyo yani kwanza kama mimi sijui ningeanzia wapi niishie wapi.Na watu wenyewe pia mmmmmmhhhh
Ila nisiwe mchoyo wa kutoa hongera tukitoa uchafu mwengine woooooooote wa huyu bi dada....wacha nissuport mwanamke mwenzangu kwenye hata kiduchu tu kizuri alichotenda.Hongera kwa kushoot movie na kuandaa sherehe kajala.

Anonymous said...

ni kweli kabisa Nuru wajua hata mimi najaribu kutafakari hapa sasa hivi kajara ana marafiki wengi sana na amekuwa mtamu kweli lkn kipindi alichokuwa na shida walikuwa wapi watu hwa wote lkn ni mmoja tu ndio alisimama upande wake akamsaidia leo hii hana tena dhamani jamani dunia hii kweli rangi rangile

Disminder orig baby said...

She has to learn from her jail exp na alipotoka!
Mungu hutupa mitihani kutufunza. Leo amempa nafas nyingine she better use it for better. Ningefurah sana kama rafiki yake angeendelea kuwa mwanandani wake na mwanaye.
Your manager and lawyer.
Sijui kuhusu your parents but those are bff and ever.

Mungu awe ndiyo muongozo wako my dear sister.

Pili nisamehe kuingilia your personal life lakin nadhan ungepunguza kumrusha mtoto ktk social medias.
She still young, provide her the best security u can, hii dunia kuna watu hawana huruma wala dini. Ni HUSDA TU.

Mungu akusimamie sana. Amin

sinyora said...

yaaah!! u said them all mdau Disminder orig baby!! apunguze kumuonesha paula kwenye social networks.. itamcost sana!!

Anonymous said...

huyo paula sasa tumemchoka mara utasikia na yeye anaigiza muda si mrefu mtoto ndo anatarajia kuingia form 0ne mkeups kibao duh