Genuine Nordic Vodka

Showing posts with label KAJALA MOVIE PREMIERE. Show all posts

Thursday, July 14, 2016
Friday, September 26, 2014
KAJALA!S MOVIE PREMIERE,MBWAMWITU!!!
KAJALA,,
WITH DESIGNER MGESE,,
WITH HER DAUGHTER PAULA,,
SAUDA MWILIMA INTERVIEWIG KAJALA,,
RAY VINCET KIGOSI KAPUNGUA SANA I ALMOST DID OT RECOGNISE HIM,,
QUICK ROCKA,MECKY DIVA AND A FRIEND
IRENE PAUL,ZAMARADI AND DAYNA,,
FLORA NA BABY MADAHA ILA NI YEYE KWELI AU NAMFANANISHA MAANA AMELOOSE WEIGHT SANA KAMA NI YEYE BUT SHE LOOKS NICE,,
IRENE UWOYA,,
BEN KINYAIYA,,
KWANZA NLITAKA NIFANYE REDCARPET BEST/WORST ILA NTAJIUMIZA TU KICHWA BURE,,
HIZI PICHA ZOTE UKIZITIZAMA ZITIZAME KWA JICHO LA TATU KUNA SOMO KUBWA SANA LA KUJIFUNZA KUHUSU URAFIKI NA MAISHA.
MAISHANI HUWEZI KUJUA LEO UKO HAPA KESHO UTAKUWA WAPI,,
KUNA MARAFIKI UKO NAO SASA HIVI KATIKA MAISHA YAKO BALI JUA WANATAMANI SANA MAISHA YAKO BALI WEWE HUTAMBUI HILO..
NA KUNA MWENGINE ANASUBIRI UANGUKE AKIMBILIE KWENGINE KWA MAANA YUKO KIMASLAHI,,
NA KUNA MWINGINE NI RAFIKI WAKO WA UKWELI ILA WEWE UKO BUSY SEARCHING MAGROUP YASIYOKUFAA,,
NILIIMBA WALIMWENGU NI WAZURI UKIWA NA MALI FROM A PERSONAL EXPERIENCE KWANI MALI IKIISHA WATU WOTE HUWAONI.COM
HII NI REALITY AMBAYO INAWEZA MTOKEA MTU YOYOTE SO TIZAMA,TAFAKARI THEN CHUKUA HATUA,,NIMEMALIZA!!!
PICHA ZOTE KWA HISANI YA WWW.DJCHOKAMUSIC.COM na MILLARD AYO

Thursday, September 25, 2014
KAJALAMOVIEPREMIERE#MBWAMWITU!!!
KAJALA WITH HER DAUGHTER PAULA,,
QUICK ROCKA,,ONE OF THE CAST MEMBERS FROM THE MOVIE
DAYNA NYANGE,RIO PAUL,KAJALA,KEISHA AND NOEL THE STYLIST
QUICK ROCKA,,ONE OF THE CAST MEMBERS FROM THE MOVIE
Labels:
KAJALA,
KAJALA MOVIE PREMIERE,
MBWAMWITU MOVIE
Subscribe to:
Posts (Atom)