Flora wewe ni JEMBE saluti kwako!
STRONG WOMAN
Yaani upepo uliokupitia ni upepo mkali sana hasa kwa jamii zetu ambazo Mwanamke anatakiwa anyamaze kwa lolote linalomkuta kwenye NDOA yake. Hata kama yupo kwenye hatari ya kupoteza roho yake jamii itamuona mkosaji tuu!!! Lakini umeweza kuhimili na kuendelea na kazi kama kawa kama dawa....
Umechambwa vya kutosha na ukahukumiwa kisawasawa, badala ya kusubiri Hukumu ya Mahakama. Wala kuangalia mlalamikaji wa hiyo kesi kama na yeye ana Haki au la! Kama ni kesi ya kutunga pia itadhihirika siku za mbele Mahakamani... hapa Flora na Mbasha mnajua kilichotokea na kinachoendelea.. sipasemei sana nsije tukanwa kama nilivyoshukiwa...
HOJA YANGU
Leo umenisapraiz sana kukuona ukiendelea na Huduma kama vile hakuna kilichotokea ukiwa Mwanza karibu na ccm kirumba kwa siku tatu. Leo ndo umemaliza Huduma!! Wewe ni zaidi ya Super Woman dada Flora. Kwa hilo Wanawake wengi tunajifunza kuwa Maishani kuna mambo mengi sana yanatokea mengine yanaumiza sana sana ila jaijalishi, kikubwa tunapaswa kujifunza kukabiliana na changamoto za aina yeyote ile... kwa somo hilo nakushukuru sana na nakupongeza sana....
Hakuna ajuae ukweli wa yaliyoipata nyumba yako zaidi ya nyinyi wenyewe na Mungu wenu pekee. Wengine wote tunapiga kelele tuu...ila pia ninachokiona ni kwamba Watu wengi sana wanaenda kuomba watu wakiharibikiwa kuliko mafanikio ya watu zaidi. Siku watakayokusapoti ni siku utakayomaliza safari ya hapa duniani ndo rip zitakuja mabilioni... usiogope wanaokuhukumu leo kwani nao ni binadamu tuu kama wewe na mimi...
RAI YANGU
Wanawake tukiendekeza tabia za kukaa kimya dhidi ya maovu na unyanyasaji na ukatili tufanyiwayo, hali itazidi kuwa mbaya zaidi huku tuendako. Ni wajibu wako kujitendea Haki kwa kupaza sauti za kukemea au kupinga mambo yote machafu kwenye nyumba zetu...
KISA MKASA CHA KWELI
Kuna mama mmoja alikuja kwangu akilia kwa uchungu sana kwa sababu Mume wake alimwingizia mkono kwenye Sehemu zake za Siri(Ukeni) yaani mume akazamisha mkono!! Na amekuwa akiteseka sana kwenye hiyo Ndoa. Sasa cha ajabu yule mama hajawahi kumwambia ndugu yake wala hajawahi kushitaki popote!!! huyu mama anasubiri akatwe mguu au mkono ndo atoe tarifa???? Nimeligusia hili hapa kwa sababu ujumbe utafika! akina mama tusikae Kimya tena.
FLORA
Mungu wetu azidi kukutia Nguvu na familia yako usimame na uendelee na maisha na upepo huu uliopo upite salama maisha yaendelee kama zamani... Amen BY JOYCE KIRIA!!!
IMAGE AND CREDITS:WANAWAKELIVE.COM

3 comments:
HUYO FLORA SI STRONG KWANI HATA UJASIRI ALOTUMIA HAUKUA WA MAANAX, WEWE UTANGAZIE DUNIA MUME ANALALA NA NDUGU MARA GHAFLA UNASEMA NAMSAMEHE . ANGEONESHA UJASIRI KUMSHITAKI MUME NA KUMALIZA MASWALA MAHAKAMANI SIO MEDIA
HAWA NDO WENYE KUABUDU KINAFIKI
Asante sanaaaaaaaa anonymous mwenzangu. Umeongea point big up!. Drama alilisanua zaidi mwenyewe kucha kutwa kwenye vyombo vya habari hii ilikuwa ni kesi ya watanzania kuamua au mahakama,ya tz kuamua?!. Hakuhitaji kutuforce tumuone kuwa mume wake ni mshenzi wa tabia maana penye kosa hapajifichi, za mwizi huwa arobaini. She didnt need all that ranting on the media. Utumishi wake huyu ni wamashaka huyu!. Pia dada nuru nilikuwa nakuomba uendelee kukufanya blog lako kuwa juu endelea na style yako ya kuturushia pics zako na familia, wadada wenzetu warembo na wakaka na watu wanaoleta maendeleo katika jamii!. Usituwekee humu hizi habari za mashangingi wanafiki hawa wote kucha kutwa kupenda kick za kingese badala wafanye vitu vya kitu inspire zaidi wanawake wenzao!. Mishangingi kama hii hili blog sio sehemu yao bana, sehemu yao ni huko kwenye blogs zisizo na kichwa wala miguu kucha kutwa habari hizo hizo za kifala fala tu. Endelea na style yako ya kawaida ambayo inatuvutia wadada wote wa kisasa na wakaka humu
ningemwona mwanamke wa maana kama angeenda straight mahakamani sio vyombo vya habari.
Post a Comment