#theTZA-Millard Ayo: BIFU LA ALI KIBA NA DIAMOND SASA LAFIKIA PABAYA
Baada msanii Alikiba na Diamond kuwa na ugomvi uliotokana na kunyimana
Collabo katika kazi zao za Muziki mapyayameibuka bifu limehamia katika
upande wa pili wa maisha yao. Kupitia ukurasa wa Tweetter Msanii Diamond
ametoa post ya kumkejeli msanii Alikiba:-

DIAMOND: "INASEMEKANA SINGLE BOY AMEJENGA NYUMBA LAKINI KUFIKA JUU
KWENYE RINTA IKABIDI ASTOP NA KUJIUNGA VICOBA WAMEMKOPESHA PESA NDIO
ANAMALIZIA NYUMBA YAKE TABATA HAHAHAHAHAHAHAHAHA."

Baadhi ya Mashabiki upande wa Ali Kiba hawakuonesha kufurahishwa na
alichokiandika Diamond wengi walikwazika sana na kuanza kumtukana baada ya
dakika chache Diamond akafuta ile post Tweetter.

SO KWENYE PITAPITA YANGU FB NAKUMBANA NA HII STORI SEHEMU NYINGI
AT FIRST NIKADHANI NI UTANI AND THEN NIKAWA NAIONA SEHEMU
NYINGI NIKASEMA MILLARD HAWEZI KURUSHA KITU KAMA HICHI KUNA
KITU NYUMA YA PAZIA,,
NILIWASILIANA NA MILLARDAYO NIKAMUULIZA JE HII STORI NI KWELI
AKASEMA HAPANA.

SASA BAADA YA SIKU MBILI I SEE THE SAME SENTESI ZA KUHUSU
VICOBA KWENYE STATUS YA MTU NIKAREACT MBONA MANENO NI KAMA YALE
KWENYE ILE POST NDIPO HAPO NIKAJUA KUWA NI MATAPELI WANAHACK
KWENYE ACCOUNT ZA WATU HALAFU WANAPOST HILO TANGAZO
KUHUSU VICOBA NA KUNA WATU WASHALIWA HELA ZAO,,
MFANO KAMA ZILE EMAIL MNAPATA KWENYE FB OHH MY NAME IS BLA BLA
BLA KUMBE WIZI TUU TENA USIZIJIBU NDO UNAZIDI KUWAHAMASISHA
UKIZIPATA ZIDELETE TUU,,

KINACHONIUDHI NA KUNISKITISHA NI KWANINI WANATUMIA MAJINA
YA WATU MAARUFU KUFANYA UCHAFU WAO??
YA WATU MAARUFU KUFANYA UCHAFU WAO??
CHA PILI KWANINI MNAHARIBU FIKRA ZA WATU NA KUWAPOTOSHA
MAANA KUNA WATU WANATUKANA NA KUINGILIA UGOMVI WAKATI HAMNA
UGOMVI AU MANENO YA DHARAU YALIYOTAMKWA NA DIAMOND ON THIS
CASE WANALETA PICHA GANI,,

CHA TATU MILLARD AYO SITE NI SEHEMU WATU WENGI WANAINGIA NA
KUSOMA HABARI NA MILLARD ANA CREDIBILITY MEANING UAMINIFU
NA OFFCOZ MTU AKIONA JINA LA MILLARD HAPO HAPO ATACHUKULIA KUWA
STORI NI YA KWELI NA SIO FEKI,,
KWANINI MNATAKA MUAHARIBIA MWENZENU AMBAYE ANAJITUMA SANA NA
KUAMINIWA NA WADAU MBALIMBALI,,SHAME ON YOU

NISHAONA MARA NYINGI MACELEBS WAKILALAMIKA KUHUSU ISSUE YA
MATAPELI KUTUMIA MAJINA YAO KWA UTAPELI WAO
NA INASKITISHA SANA KUWA KUNA MIMBURULA AMBAYO NI WIZI TUU NA
BADALA YA KUPIGA AKILI WATAFUTE VIPI SENTI HII NDIO WAMEIONA
NDIO NJIA,,IT IS WRONG AND PATHETIC!!!

2 comments:
Mbona iyo ya kitambo sana inaweza kua inamaliza mwaka sasa
Yaa but its still circulating around facebook n alot of sites n kuna watu bado wanafkiri ni kweli,,
Post a Comment