Genuine Nordic Vodka
Thursday, May 22, 2014
FROM SETH DE JESUS GIOVANNIE A.K.A BIKIRA WA KISUKUMA!!
Zamani nilikuwa naona kama Stori tu watu wanaongea kujifurahisha lakini kumbe LA HASHA!! Kumbe yanatokea bwana,nimeshtuka!!
Lakini nikajipa Moyo nikijua wanaofanya haya ni Wanawake wa Kiswahili wa huko Kwa Bibi Nyau ambao hawajaenda Shule lakini kumbe LA HASHA!!Hadi Masistaduu wanafanya haya kumbe,Nimeshtuka,Nimeogopa!!
HADI MASISTADUU WANAENDA KWA WAGANGA SIKU HIZI???Eh Yesu urudi tu jamani,wadada wa heshima,ukiwaona kama vile wamestaarabika kumbe ololoooo,HASARA!
Una Degree unaenda kwa Mganga aliyeishia LA PILI akusaidie Umpate Mwanaume Fulani???KWELI??
Una Masters' Degree unaenda kwa Mganga eti kumkomesha Mwanamke aliyekuibia Boyfriend???Boyfriend Kweli,ambaye hata Shangazi zako wa kijijini Nyamabera hawamjui???Ukiibiwa Mme si utashika Bastola uue??
WADADA MMEPATWA NA NINI????Ndo mahaba haya???
Wanaume wenzangu kuweni makini,anavaa High Heels huyo,Amesoma huyo,anafanya kazi nzuri huyo lakini KIGAGULA,Wengine mmenaswa mnashangaa mnafanya maamuzi bila kuelewa nini kimewapata kumbe MDADA AMEKUTENGENEZA
Na rule za Ulimwengu huu ziko LOUD and CLEAR,Kama huna Yesu basi Shetani lazima awe COUSIN WAKO
WADADA MMETISHA....Afanaleki,hadi kunena kwa lugha nimeshindwa leo
TAWIRE DADA TAWIREEEE,JOHNSON AACHANE NA LUCY AWE WANGU,TAWIRE DADA TAWIRE...
Mungu akisaidie kizazi hiki!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
9 comments:
UYU MSUKUMA NAE ATAKUWA ANAENDAGA UKO KWA WAGANGA NDIO AKAKUTANA NAO UTAMJUAJE MCHAWI KAMA HUWANGI NAE??????????? BIKIRA NA WEWE WAGANGA .COM
Maskini kakuudhi au kakugusa kuandika hivyo,,, kama hufanyi why even bother urself to comment
Nuru naomba kuwasiliana na wewe
yani mtu anakua sio tuu cousin wa shetani..mmh cousin hawezi kufanya control ya hali hiyo yani huyo anakua mke wa shetani in other words u may call her devil's wife....!!these things really happen may God help us out jamani wanawake tumezidi ni noma...LORD HAVE MERCY ON US
MY EMAIL IPO KWENYE UKURASA UNAIONA SO UNAWEZA NIANDIKIA NA KUWASILIANA NA MIMI MDAU,,,
Siku hz ni balaa!!! wanawake ni washirikina sana, tena wasomi hasaaa... Huyo mwanaume wa kumloga.. vikiisha unaachwa kama mbwa kwa dharau na kejeli.. ya nn jaman!!! Piga goti omba utapata umtakae, wenzzenu tulisali tukawapata khaaa!!!
Wasomi ni Wenye dini bwana na Imani iliojengeka nafikiri pia muda umefika watu kuelewa elimu za dunia bado haijafikia elimu ya Imani ya mwenyezimungu na muda umefika watu waelimike pia, maana ya neno Waswahili rudini mpaka 70's muiweke maana ya Waswahili neno Waswahili na tabia za waswahili linaharibiwa na Kuwa kwenye maana mbaya, wengi wapo kwenye Shirki bila kujijua ukimshirikisha mungu kwenye baya ujue upo kwenye Shirki japo zinatofautiana Huyo alienda kwa waganga wa kichawi ungetumia busara ukamfuata uso kwa uso na kumwambia aache Hiyo tabia mungu anajuwa afanyalo Kabla hajafa na Hiyo tabia mungu atuepushe na hayo.
haya yote inaonyesha jamii imepotea vipi Huyo dada najua naye imemkasirisha mpaka kawa stereotype ya kusema waswahili kwa bibi nyau ambao hawajasoma dada yangu ungetumia busara namna ya kulengesha watu, ila bora umesema Lako kutoka moyoni ila mtu mwenye elimu humfuata mwenzake kwanza nakumfahamisha makosa yake mambo mengi siku hizi Nuru yamebadilika si aliyesoma wala asiyesoma Pesa zinawachanganya watu hata si mapenzi wala maaadili yashapotea watu hawamuogopi mwenyezimungu, Allah awalaani hao waganga wanapenda hao waganga na matapeli wote waliosoma na wasiosoma utapeli wa pesa ndio uharibu ndio tunayaona ya Bibi bomba uzalilishaji na wanaooandaa si wamesoma? Ndio Yale Yale ya Big Brother tunaiga Mabaya sana na Kama Nuru anavyosema Walimwengu utawaona ukiwa na Mali.
ahsanteeee mali ikiisha watu wote huwaoniiiiiiii ogopa sana WALIMWENGU,,,
Post a Comment