Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, April 21, 2010

KWA RAHA ZENU MR AND MRS BRENNICK....,


13 comments:

Anonymous said...

mh! jamani! mimi bora tu nibaki na ushamba wangu

NURU THE LIGHT said...

tena baki hivyo hivyo maana sioni cha ajabu mtu na mumewe wanacheza so ushamba unahuu nini....watu wengine bwana...,

Anonymous said...

mdau hapo juu kwani kitu gani cha ajabu hapo,kimefanyika?

Anonymous said...

Mshamba kweli..lol, Have fun newlyweds Lov it !x

M

Anonymous said...

yaani mnaona huo uchezaji ni sawa hadharani? ndio kuwestenize huko?hongereni.
mwanamke anaejiheshim hawezi fanya huu ujinga.wala siwajui lakini ni dhahiri.
Shoot me, i said it

Sab said...

Ata kama mtu ulikua autaki ukweli ndio uo Devota u rock mama aliyekua ataki ataingiziwa ata kwa sindano mpaka akubali.ataongea mtu mpaka mdomo utapinda yukweli utabaki kua iyo ndio harusi iliyofunika 2010 nimewakukubali haswaaaaaaaa.

Anonymous said...

inafurahisha lol have funny ladies
Diva umeuaaa mi Party kibao yakufa mtu show them hamna haja yakupigishana kelele na watu just actions
ooh tumemchangio ooh vile who cares
have funny darling

Anonymous said...

bora mdau kajisemea alichonacho rohoni, kuwa mshamba haoni cha ajabu! Jamani hata kama ni raha jie mwenyewe, vitu vingine si kwa ajili ya wote kuona, ndio maana unaoa na kuolewa ili vitu vungine vibaki vyenu tuu si wote kuonahuo ni ushamba mwingine..........lol!

Anonymous said...

hamna haja kumshambulia mdau wa kwanza kila mtu na intrest zake na mapenzi yake yeye kwakawe hawezi ndo mana kasema"mie" so lest leave it to her..back to the pic i love being free wit ma huby and i can do this and more in public..Huyu dad ni mzuri sio kama nilivoskia kutoka kwa blog flani aisee watu wanachuki.Nimempenda sana anasura shepu nzuri na harusi yake ilikuwa bomba...all the best couple!

Anonymous said...

nuru sasa kilichokufanya unijibu hivyo na comment yangu ya kwanza ninini? nimejiongelea mimi sio wewe wala hao wahusika wa picha. watu mmezoea shari! halafu unajitambulisha kwamba "am alot fun and i like positivity n hate haterism" kwa maneno yako...

NURU THE LIGHT said...

I STILL STAND FOR WHAT I AM ANONY KWAMBA AM FUN,I LIKE POSITIVITY N HATE HATERISM WHICH IN MY OPINION I STILL SEE NOTHING WRONG GOING ON BETWEEN DEVOTA AND HER HUSBAND SO I REALLY DONT GET YOUR POINT...,
SHARI SIO KITU NAPENDA NA KAMA WW NI MDAU WA SIKU ZOTE HIYO KITU UNGEJUA ILA SIPENDI COMMENT ZA KIJINGA...,KAMA INGEKUWA NI KITU SIO BIG DEAL KIHIVYO WHY COMMENTING ON IT THEN!!!
MAYBE U DIDNT MEAN KWA UBAYA THEN SO BE IT LAKINI DADA ULIVYOIANDIKA IT DIDNT SEEM SO TO ME..,AND SOME THINGS ARENT EVEN WORTH COMMENTING ON.KAMA NI KITU AMABCHO WEWE USINGEPENDA KUFANYA NA MUMEO I TOTALLY RESPECT U FOR THATT BUT DONT POINT THE FINGERS ON THOSE WHO DO MAANA AT THE END OF THE DAY SISI WOTE TUTASIMAMA MBELE YA MUNGU KUTUBU THAMBI ZETU.DEVOTA IS MY FRIEND NA SIKU YOYOTE NITASIMAMA KUMDEFEND RAFIKI YANGU MAANA NA HIYO PIA NI CHARACTER MOJA NINAYO KUWA A LOYAL FRIEND..,AHSANTE

Anonymous said...

Naku support hapo Nuru,mdau hapo juu kwa kusema alichosema amem-automatically judge Bi harusi hapo.hata mimi nilimshangaa.

Anonymous said...

bi harusi m,zuri na mumewe mzuri...


comments zimenifurahisha ila kuna jambo nuru kagusia LOYALTY .. ni neno kubwa na zito nuru. think about it...

mama E