yaani mnaona huo uchezaji ni sawa hadharani? ndio kuwestenize huko?hongereni. mwanamke anaejiheshim hawezi fanya huu ujinga.wala siwajui lakini ni dhahiri. Shoot me, i said it
Ata kama mtu ulikua autaki ukweli ndio uo Devota u rock mama aliyekua ataki ataingiziwa ata kwa sindano mpaka akubali.ataongea mtu mpaka mdomo utapinda yukweli utabaki kua iyo ndio harusi iliyofunika 2010 nimewakukubali haswaaaaaaaa.
inafurahisha lol have funny ladies Diva umeuaaa mi Party kibao yakufa mtu show them hamna haja yakupigishana kelele na watu just actions ooh tumemchangio ooh vile who cares have funny darling
bora mdau kajisemea alichonacho rohoni, kuwa mshamba haoni cha ajabu! Jamani hata kama ni raha jie mwenyewe, vitu vingine si kwa ajili ya wote kuona, ndio maana unaoa na kuolewa ili vitu vungine vibaki vyenu tuu si wote kuonahuo ni ushamba mwingine..........lol!
hamna haja kumshambulia mdau wa kwanza kila mtu na intrest zake na mapenzi yake yeye kwakawe hawezi ndo mana kasema"mie" so lest leave it to her..back to the pic i love being free wit ma huby and i can do this and more in public..Huyu dad ni mzuri sio kama nilivoskia kutoka kwa blog flani aisee watu wanachuki.Nimempenda sana anasura shepu nzuri na harusi yake ilikuwa bomba...all the best couple!
nuru sasa kilichokufanya unijibu hivyo na comment yangu ya kwanza ninini? nimejiongelea mimi sio wewe wala hao wahusika wa picha. watu mmezoea shari! halafu unajitambulisha kwamba "am alot fun and i like positivity n hate haterism" kwa maneno yako...
I STILL STAND FOR WHAT I AM ANONY KWAMBA AM FUN,I LIKE POSITIVITY N HATE HATERISM WHICH IN MY OPINION I STILL SEE NOTHING WRONG GOING ON BETWEEN DEVOTA AND HER HUSBAND SO I REALLY DONT GET YOUR POINT..., SHARI SIO KITU NAPENDA NA KAMA WW NI MDAU WA SIKU ZOTE HIYO KITU UNGEJUA ILA SIPENDI COMMENT ZA KIJINGA...,KAMA INGEKUWA NI KITU SIO BIG DEAL KIHIVYO WHY COMMENTING ON IT THEN!!! MAYBE U DIDNT MEAN KWA UBAYA THEN SO BE IT LAKINI DADA ULIVYOIANDIKA IT DIDNT SEEM SO TO ME..,AND SOME THINGS ARENT EVEN WORTH COMMENTING ON.KAMA NI KITU AMABCHO WEWE USINGEPENDA KUFANYA NA MUMEO I TOTALLY RESPECT U FOR THATT BUT DONT POINT THE FINGERS ON THOSE WHO DO MAANA AT THE END OF THE DAY SISI WOTE TUTASIMAMA MBELE YA MUNGU KUTUBU THAMBI ZETU.DEVOTA IS MY FRIEND NA SIKU YOYOTE NITASIMAMA KUMDEFEND RAFIKI YANGU MAANA NA HIYO PIA NI CHARACTER MOJA NINAYO KUWA A LOYAL FRIEND..,AHSANTE
13 comments:
mh! jamani! mimi bora tu nibaki na ushamba wangu
tena baki hivyo hivyo maana sioni cha ajabu mtu na mumewe wanacheza so ushamba unahuu nini....watu wengine bwana...,
mdau hapo juu kwani kitu gani cha ajabu hapo,kimefanyika?
Mshamba kweli..lol, Have fun newlyweds Lov it !x
M
yaani mnaona huo uchezaji ni sawa hadharani? ndio kuwestenize huko?hongereni.
mwanamke anaejiheshim hawezi fanya huu ujinga.wala siwajui lakini ni dhahiri.
Shoot me, i said it
Ata kama mtu ulikua autaki ukweli ndio uo Devota u rock mama aliyekua ataki ataingiziwa ata kwa sindano mpaka akubali.ataongea mtu mpaka mdomo utapinda yukweli utabaki kua iyo ndio harusi iliyofunika 2010 nimewakukubali haswaaaaaaaa.
inafurahisha lol have funny ladies
Diva umeuaaa mi Party kibao yakufa mtu show them hamna haja yakupigishana kelele na watu just actions
ooh tumemchangio ooh vile who cares
have funny darling
bora mdau kajisemea alichonacho rohoni, kuwa mshamba haoni cha ajabu! Jamani hata kama ni raha jie mwenyewe, vitu vingine si kwa ajili ya wote kuona, ndio maana unaoa na kuolewa ili vitu vungine vibaki vyenu tuu si wote kuonahuo ni ushamba mwingine..........lol!
hamna haja kumshambulia mdau wa kwanza kila mtu na intrest zake na mapenzi yake yeye kwakawe hawezi ndo mana kasema"mie" so lest leave it to her..back to the pic i love being free wit ma huby and i can do this and more in public..Huyu dad ni mzuri sio kama nilivoskia kutoka kwa blog flani aisee watu wanachuki.Nimempenda sana anasura shepu nzuri na harusi yake ilikuwa bomba...all the best couple!
nuru sasa kilichokufanya unijibu hivyo na comment yangu ya kwanza ninini? nimejiongelea mimi sio wewe wala hao wahusika wa picha. watu mmezoea shari! halafu unajitambulisha kwamba "am alot fun and i like positivity n hate haterism" kwa maneno yako...
I STILL STAND FOR WHAT I AM ANONY KWAMBA AM FUN,I LIKE POSITIVITY N HATE HATERISM WHICH IN MY OPINION I STILL SEE NOTHING WRONG GOING ON BETWEEN DEVOTA AND HER HUSBAND SO I REALLY DONT GET YOUR POINT...,
SHARI SIO KITU NAPENDA NA KAMA WW NI MDAU WA SIKU ZOTE HIYO KITU UNGEJUA ILA SIPENDI COMMENT ZA KIJINGA...,KAMA INGEKUWA NI KITU SIO BIG DEAL KIHIVYO WHY COMMENTING ON IT THEN!!!
MAYBE U DIDNT MEAN KWA UBAYA THEN SO BE IT LAKINI DADA ULIVYOIANDIKA IT DIDNT SEEM SO TO ME..,AND SOME THINGS ARENT EVEN WORTH COMMENTING ON.KAMA NI KITU AMABCHO WEWE USINGEPENDA KUFANYA NA MUMEO I TOTALLY RESPECT U FOR THATT BUT DONT POINT THE FINGERS ON THOSE WHO DO MAANA AT THE END OF THE DAY SISI WOTE TUTASIMAMA MBELE YA MUNGU KUTUBU THAMBI ZETU.DEVOTA IS MY FRIEND NA SIKU YOYOTE NITASIMAMA KUMDEFEND RAFIKI YANGU MAANA NA HIYO PIA NI CHARACTER MOJA NINAYO KUWA A LOYAL FRIEND..,AHSANTE
Naku support hapo Nuru,mdau hapo juu kwa kusema alichosema amem-automatically judge Bi harusi hapo.hata mimi nilimshangaa.
bi harusi m,zuri na mumewe mzuri...
comments zimenifurahisha ila kuna jambo nuru kagusia LOYALTY .. ni neno kubwa na zito nuru. think about it...
mama E
Post a Comment