Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, March 2, 2010

NILIWAHI KUMUONA MARA MOJA NA SIKUWA NAMJUA KIUNDANI LAKINI NAFIKIRI KATIKA WANAWAKE WALOPENDWA SANA TANZANIA HUYU NI MMOJA WAO..,Rest in Peace Amina


7 comments:

Mija Shija Sayi said...

She was a charismatic lady.

EDNA said...

alikuwa jasiri,mtetezi wa haki,mchapakazi...All in all she was extraordinary Woman...atakumbukwa daima.

Sab said...

Kwa kweli nilimpenda sana nilitamani niendelee kumuona Rest in peace Amina.

Anonymous said...

AAh Amina, Mungu amrehemu.
Nilisoma naye Kisutu girls sec school, japo alikuwa nyuma yangu lakini alikuwa binti mwenye nidhamu, mchapakazi, na haogopi kusimamia ukweli. Kwenye ukarimu sasa!!
Pamela Bomani unamjua zaidi besti wako.


Disminder.

Jide said...

hey lulu hiyo ilikuwa siku ya harusi yangu. Rip Amina

Interestedtips said...

Charming Lady, kama sikosei hii siku ilikuwa ni siku ya harusi ya Jide

R.I.P Amina

NURU THE LIGHT said...

Jide watu naona walipendeza sana n what a suprise wow...we need more women like Amina na tuombe mungu wajitokeze...,ahsanteni wadau and rest in peace Amina