Ni kwa sababu kwao ni kitu kipya na sisi tumevizoea. Lakini hata hivyo si waafrika wote huwa hawaoni uzuri wa vitu walivyovizoea. Wapo wanaotulia na kusikiliza nafsi zao kwa sikio la ndani. Hao ndio waonao.
Wabongo tunakitu cha kuiga tunaiga mavaziyao. na vingi nevyo vingi tu sana, niki vitaja kutajaa humu ndani kwaki fupi ni USHAMBA unatusumbua kuto kujiamini,
me nakubaliana na Yasinta. Mara nyingi sana nikutana na complains kama hizo ofisini. Mgeni anapenda alale katika hotel ambazo ziko more culture, wengine zile local!! anakwambia hizo modern ameziacha kwao haoni tofauti na yeye kuwa nyumbani.
Nuru dear mie nina swali langu napenda msaada toka kwako endapo unafahamu na samahani kwani ninje ya mada hii. sasa ni hivi mie napenda sana nywele yani hvi humana hair za kisasa kama zile wanazotinga kina beyonce na wengineo, zipo ambazo ukiangalia waona kabisa ni hizi kama lacewig inamana anabandika tu kama kofia, na zipo ambazo ni kama weave na nimeziona huku china zinauzwa kweli zina ubora kuliko zile za zamani ila sasa nataka jua wanabandikaje huko kichwani jamani kweli wanasuka mistari na kushona na sindano kama vile ambavyo kibongo bongo twafanya?, niliwahi sikia kitu kinaitwa bond sina hakika na spelling kuwa ni kama gundi unatumia kubandika kwakweli napenda ila sijui wenzangu wanatumia nini, pls sweetheart kama wajua chochote kuhusu hili pls nimegee kidogo,huwa nakuona pia ktk picha zako na curl hair nashindwa elewa ni wig au weave, naomba jamani hata kama kuna mdau anajua anisaidie kwa hili , thx so much.
ahsante sana wadau kwa kuchangia hii mada kwasababaunilikuwa nataka kuona the different opinions...,
kwa yule mdau kuhusu nywele kuna different ways to do it..una lace ambalo unalivaa na linatiwa gundi,kwavile mimi sipendi gundi niliwekewa pini au wigi lilishonewa pini kwa ndani which holds it really well...,kuna mawigi mtu anaona bora kushonea ili asiwe anavua kila tym ya kulala..pia kama hapo kwenye picha ameshonewa kama vile rihanna anaweza kubadilisha the hairdo by weave wakimshonea na kumbond ili kumbadilisha mara kwa mara.,.,.,na wazungu wengiii mwanzoni walikuwa wakibond extensions lakini nawao huwa wanashonewa kama sisi maana wengi walikuwa wakipoteza nywele zinakatika sababu ya ile gundi so for me huwa napenda kushonewa maana najiskia more free..,i hope nimekujibu swali lako na kama kuna mdau mwengine anajua zaidi watakupa info..,
9 comments:
Ni kwa sababu kwao ni kitu kipya na sisi tumevizoea. Lakini hata hivyo si waafrika wote huwa hawaoni uzuri wa vitu walivyovizoea. Wapo wanaotulia na kusikiliza nafsi zao kwa sikio la ndani. Hao ndio waonao.
Wonderful post.
Nuru inawezekana sio uzuri labda ni utofauti. Maana ughaibuni hakuna hivyo kwa hiyo kwa mzungu anaona ni tofauti na inafurahisha. Ni mtazamo wangu.
sisi tunaigaga wenzetu tu, wenyewe wanafanya mamboyao na ku admire wanavyo admire. Mimi binafsi napenda sana haya mazingire na bongo kwa ujumla.
Wabongo tunakitu cha kuiga tunaiga mavaziyao. na vingi nevyo vingi tu sana, niki vitaja kutajaa humu ndani kwaki fupi ni USHAMBA unatusumbua kuto kujiamini,
me nakubaliana na Yasinta.
Mara nyingi sana nikutana na complains kama hizo ofisini.
Mgeni anapenda alale katika hotel ambazo ziko more culture, wengine zile local!! anakwambia hizo modern ameziacha kwao haoni tofauti na yeye kuwa nyumbani.
disminder.
Nuru dear mie nina swali langu napenda msaada toka kwako endapo unafahamu na samahani kwani ninje ya mada hii. sasa ni hivi mie napenda sana nywele yani hvi humana hair za kisasa kama zile wanazotinga kina beyonce na wengineo, zipo ambazo ukiangalia waona kabisa ni hizi kama lacewig inamana anabandika tu kama kofia, na zipo ambazo ni kama weave na nimeziona huku china zinauzwa kweli zina ubora kuliko zile za zamani ila sasa nataka jua wanabandikaje huko kichwani jamani kweli wanasuka mistari na kushona na sindano kama vile ambavyo kibongo bongo twafanya?, niliwahi sikia kitu kinaitwa bond sina hakika na spelling kuwa ni kama gundi unatumia kubandika kwakweli napenda ila sijui wenzangu wanatumia nini, pls sweetheart kama wajua chochote kuhusu hili pls nimegee kidogo,huwa nakuona pia ktk picha zako na curl hair nashindwa elewa ni wig au weave, naomba jamani hata kama kuna mdau anajua anisaidie kwa hili , thx so much.
Lazima washangae hapo nuru, ni tofauti na kwetu, kazi yao ni kutafuta tofauti, kama pangefanana na kwao wala wasingehangaika kukodolea macho
Ni mtazamo wangu tu
ahsante sana wadau kwa kuchangia hii mada kwasababaunilikuwa nataka kuona the different opinions...,
kwa yule mdau kuhusu nywele kuna different ways to do it..una lace ambalo unalivaa na linatiwa gundi,kwavile mimi sipendi gundi niliwekewa pini au wigi lilishonewa pini kwa ndani which holds it really well...,kuna mawigi mtu anaona bora kushonea ili asiwe anavua kila tym ya kulala..pia kama hapo kwenye picha ameshonewa kama vile rihanna anaweza kubadilisha the hairdo by weave wakimshonea na kumbond ili kumbadilisha mara kwa mara.,.,.,na wazungu wengiii mwanzoni walikuwa wakibond extensions lakini nawao huwa wanashonewa kama sisi maana wengi walikuwa wakipoteza nywele zinakatika sababu ya ile gundi so for me huwa napenda kushonewa maana najiskia more free..,i hope nimekujibu swali lako na kama kuna mdau mwengine anajua zaidi watakupa info..,
Thx so much Nuru nimekuelewa vema. God bless u. (mdau wa nywele)
Post a Comment