Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, March 9, 2010

MY WORST DRESSES AT THE OSCARS Startin with the Gorgeous CHARLIZE..,WHYYYY!!!!

I dont care its DIOR UGLY MEANS UGLY.......,
DEMI MOORE IN VERSACE...,FROM THE COLOUR TO THE SHAPE OF THE GOWN IS AWFULLL.....,RACHEL ZOEEE SHAME ON YOU FOR THIS
MARIAH CAREY...THIS LADY NEEDS A STYLIST JAMANI...,



SANDRA BULLOCK...,THE COLOUR IS SO WRONG ON HERRRRRRRRRRRR...,



MMMMMMMMMMMMMH....,




9 comments:

Anonymous said...

Kumbe na wewe unajua kuwakosoa watu....nilikuwa nafikiri huwa unasifia tuuu....maana wewe ukikosolewa kwenye picha zako unatuita HATERS....mkuki kwa nguruwe.....

NURU THE LIGHT said...

HAHAHAHAHAHA KUNA KUKOSOA NA KUHATE N BABY WHEN PPL HATE NAKUPA UKWELI HAPOHAPO WALA SISUBIRI N MMEZIDI SANA KUHATE NDO MANA NA UKWELI MKIAMBIWA MNAJIDAI MKUKI KWA NGURUWE NDO KAZI ILIYOBAKI KUTAFUTA UPENYOO MKOSOE WATU AND ITS ALL GOOD MAANA THE MORE U HATE THE MORE WE STRIVE...,karibu tena

NURU THE LIGHT said...

HAHAHAHAHAHA KUNA KUKOSOA NA KUHATE N BABY WHEN PPL HATE NAKUPA UKWELI HAPOHAPO WALA SISUBIRI N MMEZIDI SANA KUHATE NDO MANA NA UKWELI MKIAMBIWA MNAJIDAI MKUKI KWA NGURUWE NDO KAZI ILIYOBAKI KUTAFUTA UPENYOO MKOSOE WATU AND ITS ALL GOOD MAANA THE MORE U HATE THE MORE WE STRIVE...,karibu tena

Anonymous said...

ww apo wakosoa una hata uwezo wa kununuo ilo gauni...nyoo mashauzi tele..jiangalie kwanza dada

Anonymous said...

U R fighting with ya Fans,Lol,

NURU THE LIGHT said...

am not fighting just tellin it like it is....,n anony hata bure hizi nguo sizitaki so nilishajitizama sanaaaaa both front n back na huwa natinga pamba zangu na nnatoka kuliko hizi nguo waliovaaa so fashion is not about wearing expensive things mtu kama huna style ndio huna tuu..hapa naweka vitu ili watu wapate idea n make their own fashion statements...,habbar ndo hiyooo

Anonymous said...

Looo mkuki kwa nguruwe halohalooo wamekupata this time hahahahahh usijilinganishe na master unavyovaa nguo zako za H&M sio sawa kabisa kwa material na quality, tukukosoa humu unakwua mkaliii msema kweli mpenzi wa MUNGUUUUUUUUUUUU

NURU THE LIGHT said...

kwahiyo hm nguo sio quality aisee mtu akiwa hajiamini dunia hii ni matatizo mnoooooooooooo....mimi ni tayari superstar was that since the age of 16...,kazi kwenu na ungekuwa unataka kunikosoa mbona mnajificha nyuma ya anony n not writin your own names lol....hivi nyinyi mnamjua mungu komeni kumtaja mungu wakati mnatukana watu na endeleeni tu kutukana to me its like a song mnanirushia mistariiiii so ahsanteni sana....,

Anonymous said...

heee na wee ni superstar...?hongera...nilizani najua maana ya superstar lkn naona i waz wrong...hahaaaa duniani kuna vichekesho...!sasa huna hata asistant wa kukusaidia kubwatizana na hao haterz..!maana mnavyojibizana hajulikani superstar ni nani hater ni nani wala chizi ni nani...peperusha bendera ya tz peperusha mamaa maana kama ww ni superstar kama unavyodai nadhani ulivyokuja bongo ulifungua japo kabiashara kanakotoa ajira kwa watz wennzako..LOL..nadhani una mabiashara.majumba.mahela ndo mana wana kuhate..LOL..achana nao haterz wewe ni superstar ndo mana wanakuhate, wee endelea kumake money..LOL hahaaa