Hehehe Nuru wewe mzuri but mbona wewe na mama yako hamfanani? nilidhani mwenzangu mama wako ni mulatt... mbona kakaa kama mtu wa Kongo kabila fulani la Bunya??? au unatumia mkorogo??? yaani sura adi umbo mko tofauti...Na aliyesema uko kama zezeta nopp. anyway mko poa.
tuko poa tena sanaaaa...,sitaki nikujibu vibaya ila wewe fikra yako ilikuwa vengine na mama yangu alivyo. i think my mom is a very beautiful woman na kama hatujafanana labda namfanana baba yangu,au shangazi,bibi maana mbona beyonce hajamfanana baba yake hata kidogo lakini ni baba yake au sio..,na mama yangu si mkongo maana anapenda sana kabila lake na yeye pia ni bonge la mulatt...mulatt sio mzungu tu na mwafrika hata waafrika kuna mamulatt wamejaa tele..,ahsante mamii kwa zezeta coment nashkuru
Mama yako ni kabila gani? na ni mulatt wa kiarabu ama maana najua ndio mulatt wa afrika ni waarabu ila hajakaa hivyo juu sura yake ni pana. labda mulatt na wakurya???
hivi wewe ulouliza swali hata sijui nikujibu nini maana mulatt wa kiarabu yukoje na muulatt wakiafrika yukoje..,mjinga ni mjinga tu na unaambiwa usibishane na mjinga hata siku moja..,na wote mloandika neno mulatt ni watu wa sweden maana mlivyowajinga mnajisahau na kutumia neno mulatt ndo tatizo la kuwa mnakurupuka tu na kuuliza maswali..kwani lazima mjue kabila yake,na je ukiijua utazidi zuri au utajiri...,maana ya mulatt ni kuwa mixed sasa hata mchaga na akizaa na mjaluo mtoto atakuwa mixed toka lini mtu mixed ni mwarabu tuu. ...,
Mrembo nuru hawa jamaa juu they sound lyke wana kasoro au problem cuz wat they are typing doesn't make sense so kuna pharse that says A Clever Person Solves A Problem. A Wise Person Avoids it. with your level i rank you to a wise person so just Avoid them.
12 comments:
Hakuna kama mama Nuru.
mama mama mama, upendo nilionao kwa mama yangu, ni mwenyezi Mungu tu ndiye anaweza kuubadili!!
I LOVE YOU MAMA.
disminder.
Mmependeza sanaaaa Nuru na Mama Mpe hi
FROM JAKIII SWEDEN
Mmependeza sanaaaa Nuru na Mama Mpe hi
FROM JAKIII SWEDEN
big up to women all over the world....on a different note, i love your afro hair, is it a wig or weave in? if you dont mind the qn, thank you.
NURU UNA SURA YA KI ZEZETA
chill out Haterz
Hehehe Nuru wewe mzuri but mbona wewe na mama yako hamfanani? nilidhani mwenzangu mama wako ni mulatt... mbona kakaa kama mtu wa Kongo kabila fulani la Bunya??? au unatumia mkorogo??? yaani sura adi umbo mko tofauti...Na aliyesema uko kama zezeta nopp. anyway mko poa.
tuko poa tena sanaaaa...,sitaki nikujibu vibaya ila wewe fikra yako ilikuwa vengine na mama yangu alivyo. i think my mom is a very beautiful woman na kama hatujafanana labda namfanana baba yangu,au shangazi,bibi maana mbona beyonce hajamfanana baba yake hata kidogo lakini ni baba yake au sio..,na mama yangu si mkongo maana anapenda sana kabila lake na yeye pia ni bonge la mulatt...mulatt sio mzungu tu na mwafrika hata waafrika kuna mamulatt wamejaa tele..,ahsante mamii kwa zezeta coment nashkuru
Mama yako ni kabila gani? na ni mulatt wa kiarabu ama maana najua ndio mulatt wa afrika ni waarabu ila hajakaa hivyo juu sura yake ni pana.
labda mulatt na wakurya???
hivi wewe ulouliza swali hata sijui nikujibu nini maana mulatt wa kiarabu yukoje na muulatt wakiafrika yukoje..,mjinga ni mjinga tu na unaambiwa usibishane na mjinga hata siku moja..,na wote mloandika neno mulatt ni watu wa sweden maana mlivyowajinga mnajisahau na kutumia neno mulatt ndo tatizo la kuwa mnakurupuka tu na kuuliza maswali..kwani lazima mjue kabila yake,na je ukiijua utazidi zuri au utajiri...,maana ya mulatt ni kuwa mixed sasa hata mchaga na akizaa na mjaluo mtoto atakuwa mixed toka lini mtu mixed ni mwarabu tuu. ...,
Duh..jamani kuna watu wanafki hapa..eti u lukin gud na mama yako..sina la kusema miye..aloooooooooooo..!

Post a Comment