Saturday, November 1, 2014

THE REALITY SHOW BY WEMA SEPETU IN MY SHOES SEASON 2 IS BACK!!


1] Maboresho mengi zaidi, mwanzo ulikuwa mgumu sana, sasa nitaonyesha kila kitu kwa upana zaidi.
2] Safari zake za njee zitaonekana.

3] Anavyotengeneza pesa na dili anazofanya vitaonekana

4] Mpenzi wake Diamond ataonekana kwenye show "Episode ya kwanza atakuwepo na zinazokuja".

Show ya Wema ambaye ni Miss Tz 2006 itarushwa Ijumaa saa tatu na nusu usiku kabla ya Friday Nite Live.
source;www.sammisago.com

NORDSTROM#HERRIETHPAUL!!!

MGECE MAKORY!!!MAXI DRESS#KIKI!SDESIGN!!!


THETRUTH.COM!!!


Friday, October 31, 2014

THEE LITTLE SIMPLE WHITE DRESS!!! JACQUELINE,,
 MWAMVITA,,
 MILLEN,,
NURU THE LIGHT,,

LATEPOST!!!!
STATUS THAT TOUCHED ME TODAY ON FACEBOOK FROM KASSEB AND ERIQ!!!Muafrika ni muafrika tu hata awe Ulaya!!
Saloon wameandika wanafungua saa 10:00 na sasa hivi ni 10:25 nasubiri kinyozi hajatokea na sijui atakuja saa ngapi. In between wateja wawili wameshaondoka kwani wamechoka kusubiri.
Halafu hapo akija atawahudumia wateja taratiibu nakuambulia wateja wachache na huku muda waliopewa kufungua ukizidi wanachukuliwa hatua.
Wazungu kuendelea sio magic bali nikuwork hard na kujali muda.
Nimechoka kusubiri ngoja tu nijiondokee ����

YAANI HAPA TU NDIPO WAAFRIKA WANAFELI KIMAISHA AT TIMES HALAFU BAADAE ATALALAMIKA WAKATI THE CHANGE STARTS WITH YOU,YOUR OWN GOT DAMN SELF!!!

kuna watu toka kaamka mpaka analala wanaskiliza redio za Tanzania tuu muulize siasa ya nchi au jina la primeminister nchi anayokaa hajui,,
wengine hata lugha ya ile nchi hajitahidi kujifunza yeye kutwa anabonga kiswahili,,
there is one thing leo duniani ambacho kina bei for life na hiyo ni kujua lugha tofauti ni utajiri tosha,,
haujaambiwa uisahau lugha na nchi yako but jaribu kuwa involved na sehem uliopo ili ukuze upeo wako
Sasa umefanikiwa kufungua saloon kwann unaleta uafrika wako na huku instead ya kujifunza kubadilika,,"Mtu mmoja anaye kutia moyo wakati wa shida ni muhimu kuliko kundi la watu linalo kushangilia wakati wa mafanikio"

YAANI UMEONGEA POINT mpaka nimetetemekaaaaaaaaaaa,,a very good point indeed Eriq,,

NEWMUSIC;KK FEAT.ZAIID,DEFIANT!!!!THE MAN HIMSELF KHALID,,

Thursday, October 30, 2014