Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, February 4, 2018

I AM GOING TO MISS YOU DEARLY!!!


SHOT BY MCCGREGGOR!!

DUE TO MAINTENANCE THIS IS MY LAST BLOG POST FOR A WHILE.
MY TECH GUY IS GOING TO BE HANDLING THE BLOG UNTIL THE WORK IS DONE.
SINCE THE FOLLOWERS ARE INCREASING I NEED TO IMPROVE THE SITE AND BE ABLE TO HANDLE THE CAPACITY.
MEANWHILE ENJOY THE OLD POSTS AND WAIT FOR THE NEW AND BETTER BLOG.
FOR THOSE WHO FOLLOW ME ON TWITTER AND FACEBOOK I WILL INFORM YOU WHEN WE ARE BACK IN BUSINESS AGAIN BUT UNTIL THEN  TAKE CARE MY BELOVED AND SEE YOU WHEN AM BACK,I LOVE YOU MUCHO MUCHO!!

POST HII NI YA MWISHO KWA MDA KWAVILE SITOWEZA  KUBLOG KWASABABU YA MAINTANCE KWAVILE WASOMAJI WAMEONGEZEKA NAHITAJI KUFANYA MAREKEBISHO ILI NIWEZE KUIBORESHA BLOG YANGU AU NISEME YETU.
ENJOY POST ZILIZOPO NA MKIINGIA MKAKUTA LABDA HAMUONI KITU OR WHATEVER NI KAWAIDA KWAVILE KUNAFANYIWA UKARABATI BUT NITAWAMISS NA NITAMISS KUBLOG PIA  ILA KWA WALE WANAONIFOLLOW TWITTER NA FACEBOOK NITAWAJULISHA AS SOON AS TUTAKAPORUDI HEWANI.
MBAKI SALAMA WAPENDWA MPAKA PALE NITAKAPORUDI,NAWAPENDA❤❤!
10 comments:

sosoano said...

oohh!!!!!!!!!!!
da nuuu I will u too jomoni
please come back soon hata kesho tu urudi jomoni

and please do not forget kuweka emoji zilleee please please

afu hiyo sketi n balaaa i lap it
is it elastic?

Cute Olive said...

Umependeza Nuru love the chuichui blouse eeh naona sketi imetenda haki na chepu.com limeonekana haswaa.

Nitamiss sana humu nategemea mazuri zaidi baaada ya marekebisho.

Love you mingiiii.

Kiliative Kaloleni said...

Looking stunning Nuru,as per usual self...Jamani,am very sadden with the NEWZ,Aki Woyeee Na Vile Nimezoea ku-log in everyday,however much am not much of a commenter but will surely MISS YOU TOOOOOO. Anyhow we wish you and your technical team all the very best,till then,GOD BLESS

comfort said...

Eeeeee Mungu wangu furaha yangu inapotea sasa daah.maana nikishatoka mie job nimetulia naingia humu.mmmmh nitawamis sana aisee.nahuko FB,Twitter sipo mie Nuru nasubir urudi tu.

Irene said...

what hili balaa sasa before anything sasa where do i reduce my stress again, what a shame, in love with the top animal print so in love, i will be tooooo long to wait wish ningekuwa kwenye other social of media

anonymus said...

All the best!mwamini

Bintinyota said...

Miss u Light but tunaomba mambo yaje full Marogoooo.

Tutakuhamisha mtaaaa

Irene said...

hellow Nuru napenda kujua jina la hizi top kama uliyovaa imekatwa pembeni both sides zinaitwaje huwa zapaendeza saaana ukivaa na suruali

Andrew Siuluta said...

we love u too Nuru

NURU THE LIGHT said...


Love you back Andrew.,