Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka
Showing posts with label WASTARA JUMA UBUNGE. Show all posts
Showing posts with label WASTARA JUMA UBUNGE. Show all posts

Tuesday, July 28, 2015

MAYBE NEXT TIME WASTARA,NDIO MAISHA!!!

Katika kinyang’anyiro cha ubunge viti maalumu kwa watu wenye ulemavu mkoani Morogoro kwenye kura za maoni (CCM), msanii Wastara Issa Juma alikosa nafasi hiyo baada ya kukamata nafasi ya pili kwa kupata kura 252 dhidi ya mshindi aliyepata kura 424,,
CHANZO;EATV FB PAGE