Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka
Showing posts with label Uncle sam with la familia. Show all posts
Showing posts with label Uncle sam with la familia. Show all posts

Thursday, July 6, 2017

EN ROUTE TO UNCLE SAM!!!











































Our cousins are here and they wanted to see their Uncle since they haven't seen him since he was in a Coma..,
When our beloved Sam had the stroke he was with these two girls..
They are the ones who made the call to the ambulance and to Us..
They made sure mom was there because their brother drove mom to the hospital and was with him taking turns at the hospital until the SOS flew him here to Sweden.
They were happy to see that he is doing well and even though he can't speak he told them how happy and grateful he was by putting his hand on his chest close to his heart.,

Wakati Uncle Sam alipatwa na Stroke hakuwa Sweden bali nchi nyingine kumtembelea dada take ambaye ni mama wa cousins wet na hawa watoto ndio walikuwa naye na ndio walipigia simu ambulance na sisi kutupa taarifa.
Wao ndio walishinda naye usiku na mchana hospitals takriban wiki na kitu kabla hajasafirishwa kuja huku Sweden na kaka yao ndio alimleta mama kuwa nao hospital mpaka aliposafirishwa.
Wakati yuko kule he was in a coma so walifurahi kumuona akiwa much much better.

 Japokuwa haongei ila alivyowaona wakati wanataka kuondoka akawaambia ahsante huku akiweka mkono wake kifuani KARIBU NA MOYO na alijaribu sana kuitamka ahsante na mwisho wa siku tukaelewa alichotaka kusema..Glory be To God!!!

Monday, March 20, 2017

KUKATAA AU KUSEMA HAPANA NI UJASIRI PIA,SAYING NO TAKES ALOT OF COURAGE#WEEKENDTINGZ!!




HE IS HERE,.,
















MY CUTIE PIE NLIKUMISS..,
















Tokea Uncle apate Stroke ni mwaka sasa umefika.
Kiukweli he is doing well tukifikiria alipewa masaa 24 ya kuishi lakin bado tuko naye a year after so kwa hilo tunamshukuru mungu sana.
Offcoz bado hayuko 100percent lakini kwa alipotoka na mpaka alivyo kwa sasa tunashukuru.
Mwaka jana he was a different person akijitegemea lakin ndio hivyo likatokea lilitokea but ameweza kupambana na kukabiliana nalo kwa uwezo wake.
Tunashukuru wale mnaopiga simu na kuulizia hali yake na kutaka kujua anaendeleaje na mda ukifika mtapata muona na kuongea nae mawili matatu but lazma mumpe mda mpaka hapo atapokuwa tayari.
Mimi binafsi mwaka jana mda huh nlikuwa in a different place ila pia namshkuru mungu kwa kunipa ujasiri last year kufanya maamuzi sahihi kuhusu maisha yangu kwani labda leo nisingekuwepo duniani au ningekuwa sehem ya maajabu sana kwani kuna vitu vilikuwa vikiendelea ambavyo sio vizuri kabisa na at times huwa tunaandaa maadui zetu kuja kutuangamiza baadae bila sisi kujua na ukipata kujua hilo mapema basi mshukuru mungu,muenzi kwa kuenda na kubaki njia sahihi kwa kujiepusha na wabaya wako.
Unayecheka nae kwenye raha kwenye shida atakupa jeraha. na pindi yakigeuka masaa kizuri hugeuka na kuwa kibaya.
Sometimes what we want and wish for others hakiko sawa na kile wao wanataka kutoka kwetu.
Being selfish is so easy but to care for another human and want whats best for them that requires love which some people lack of.,
December 2016 niliexperience miracles ya ajabu sana kwani mda hutufunza mengi mno.
Uncle wangu umenifunza somo kwenye mda wako huu tokea ulivyouguwa ambalo limenikuza na kunielimisha kuhusu maisha na watu waliotuzunguka,sio kila aliyekuzunguka ni mbaya wako au mzuri wako sasa hapo ni juu yako wewe kuwa macho na kujua kutofautisha na kingine kinachomsibu mwenzako sio lazima usubiri mpaka kikusibu na wewe.
Chukua hatta,Fanya maamuzi na kubali kuuvaa ujasiri,Nimemaliza.com!!