Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka
Showing posts with label UCHAGUZI ZANZIBAR 2015. Show all posts
Showing posts with label UCHAGUZI ZANZIBAR 2015. Show all posts

Thursday, October 29, 2015

ASSALAM ALLEYKUM ZANZIBAR!!!


Muungano wa Vyama sita vya siasa wamepinga uamuzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha kufuta matokeo ya uchaguzi na tunamtaka ajiuzulu kwa kutaka kusababisha machafuko Zanzibar!!!

Wednesday, October 28, 2015

TOMMORROW,IMORGON,KESHO!!!



#ZanzibarYaamua2015. Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imeahirisha utangazaji wa matokeo ya uchaguzi wa urais hadi Jumatano saa 4:00 asubuhi. Hali ya wasiwasi imeendelea kutanda kutokana na kuchelewa sana matokeo hayo licha ya kwamba wapigakura wa Zanzibar ni nusu milioni tu.
source;DW KISWAHILI