Genuine Nordic Vodka

Showing posts with label SAMATTA ASAINI MKATABA NA FC GENK. Show all posts
Showing posts with label SAMATTA ASAINI MKATABA NA FC GENK. Show all posts
Saturday, January 30, 2016
ALL THE BEST SAMATTA,IT!S YOURS TO TAKE!!!
Leo nimeingia mkataba rasmi na Club yangu mpya ya FC Genk, mkataba wa miaka minne kucheza katika Ligi kuu ya Ubelgiji. Kama mnavyojua Ubelgiji ndio imekuwa chanzo kikubwa cha wachezaji wengi wakubwa na kikosi chao cha timu ya Taifa ni moja kati ya timu bora duniani. Namshukuru Mungu kwa fursa hii na nitaitumia ipasavyo. #HainaKufeli#LetsGo #TeamGenk #Tanzania
Labels:
FC GENK,
SAMATTA ASAINI MKATABA NA FC GENK
Subscribe to:
Posts (Atom)