EDWIN TALKING TO NGWEARS BIG BROTHER KENNETH MANGWEHA.,
Fahamu:leo niliamua kwenda msibani kwasababu kumekuwa na maneno mengi sana katika mitandao yetu kuhusiana na taarifa za mwili kuwasili hapa Tanzania..!!!
Katika interview#Edwin Tanzania na kaka wa marehemu#Kenneth Mangwea#
alisema#kwa kweli ninachowaomba watu wasiamini maneno ambayo ayana kibali cha kamati cha maandalizi kwasababu kuna kamati ipo na inafuatilia na kushughulikia suala ili, kwa jinsi ninavyoelewa mpaka sasa hivi kuna taratibu zinafanyika ili mwili uwe hapa Tanzania,ila taarifa niliyopewa kutoka katika kamati ni kwamba mwili utafika kesho saa nane mchana kwa hiyo naomba ndugu jamaa na marafiki tukitokeze kwa wingi pale uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere.#
EDWIN HAS A PAGE ON FB CALLED EDWIN TANZANIA WHERE HE DELEVERS NEWS AND SO MANY THINGS,,
Genuine Nordic Vodka

Showing posts with label KENNETH MANGWEHA. Show all posts

Tuesday, June 4, 2013
Friday, May 31, 2013
FROM DJ CHOKA!!!
YAH: MICHANGO YA MAANDALIZI YA MAZISHI YA ALBERT MANGWEHA
Kamati ya maandalizi ya msiba / mazishi ya msanii ndugu yetu Albert Kenneth Mangweha inapenda kutoa taarifa ya mchakati unaoendelea wa maandalizi ya mazishi, Kamati inahitaji michango yenu kwa ajili ya kufanikisha mazishi pale mwili wa marehemu utakapofika nchini Tanzani,kuanzia kuagwa kwa marehemu shughuli itakayofanyika jijini Dar es Salaam na kusafirishwa mjini Morogoro eneo la Kihonda kwa ajili ya Maziko.
Mpaka sasa ushirikiano tulioupata ni kampuni ya Clouds Media Group ambayo imebeba jukumu la kusafirisha mwili wa marehemu kutoka South Africa mpaka Tanzani, Bongo Records wameshachangia shilling milion 5 na Push Mobile wametoa million 5. Kamati inaomba wizara husika, mashirika, makampuni pamoja na watu binafsi kutoa michango yao katika kukamilisha jukumu la kumhifadhi katika nyumb yake ya milele ndugu yetu Albert Kenneth Mangweha.
...Kwa wale wanaoweza kuchangia kupitia mitandao ya simu tuma kwa kaka wa marehemu Kenneth Mangweha namba zifuatazo:
Tigopesa - +255 717 553905
MPESA - +255 754 967738
Jina la akaunti: Kenneth B Mangweha
Namba ya akaunti: 2012505840
Benki: NMB
Tukitegemea ushirikiano wenu tunatanganguli shukrani za dhati

Labels:
ALBERT NGWAIR,
KENNETH MANGWEHA
Subscribe to:
Posts (Atom)