Genuine Nordic Vodka

Showing posts with label Jacqueline Wolper in China. Show all posts
Showing posts with label Jacqueline Wolper in China. Show all posts
Tuesday, October 25, 2016
WHILE IN CHINA!!!
WITH HER BODYTYPE THIS IS A WRONG DRESS FOR HER AND DOES NOT COMPLIMENT HER AT ALL AND WHEN SHE HAD THE BELT ON OH DEAR🙆🙆
Hili gauni na mwili wake haviendani kabisa maana havimcompliment hata kidogo na alivyovaa lile BELT uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ndio aliharibu kila kitu..
Jackie ni mrefu na mrembo but ni muhim atizame vazi gani litalomcompliment mwili wake kwani she is straight meaning anahitaji vitu vitavyompa a volume au vitu ambavyo viko straight like hiyo sketi nyeusi aliyovaa.
Labels:
Jacqueline Wolper in China
Friday, October 14, 2016
Subscribe to:
Posts (Atom)