Yamebaki masaa machache niiache Tanzania kwenye mshangao wa hatari .... Naomba wote walio nunua tiketi waje kwa kwenda na muda maalumu 12:30 jioni... Na walio alikwa yaani kwa kifupi ratiba zangu ni za kizungu maana sitakua na ratiba za kiswahili za kusubiri watu... Yaani ukichelewa ujue kuna kitu unamis so njooni mapema ili tuende sawa .... MTAFURAHI HAMTAJUTA NA MTAWEKA KUMBUKUMBUKU NA HAITA TOKEA ....NA TIKETI ZA VIP ZIMEBAKI TANO TU! LAKINI ZA SILVER BADO ZIPO...... Nawapenda sana karibuni wote....... Happy birthday to me 🎊 🎈✨🍸📷🎂👑👠🎥💄🎀👛 Alhamdulillah 🙏