KIUKWELI WACHA NISEME KITU AMBACHO MIMI BINAFSI KINANIKERA KWENYE HAYA MAMBO YA SIASA.....MIMI BINAFSI SIPO KWENYE CHAMA CHOCHOTE NA WALA SIHITAJI KUJIINGIZA TENA. INANISHANGAZA WATU WANAVOTUMIA FURSA YA KUWATUKANA HAWA WAGOMBEA NA KUWADHALILISHA KWENYE MITANDAO WANASAHAU KUA WANGEWEZA KUA BABA ZAO HUKO MAJUMBANI MWAO.....AU PIA WANASAHAU KWAMBA KUNA MAISHA BAADA YA UCHAGUZI. TUJIFUNZE UTAMADUNI WAKWETU. #KAMA_NTAKUKERA_NICHUKIE
Watazania tuwe wazalendo, najua kuwa hiki ni kipindi cha Siasa na kila mmoja wetu analake analolitaka lifanyike ili apate kile akitakacho lakini hii hali ya kudhalilisha viongozi wa Vyama mimi binafsi zijaipenda. Tufanye Siasa za Kisasa zinazoendana na wakati tulionao na sio vinginevyo. NIhayo tuu natumai nimeeleweka. So disappointing. Mnth!