HOW SEXY IS THIS MAXI DRESS,,
YAANI I MISS THE TWINS KULIKO WOTEEE HUYO WA KULIA ALIKUWA ANAKATAA WATU AKINIONA HAHAH ANAJISKIA HUYO ILA WA KUSHOTO NI JEMBEE,,
SI MNAMUONA KESHANUNA VILE NAMPA LOVE MWENZAKE,,LOL
MASHALLAH UNA AKILI UMEKUWA WA KWANZA TZ NZIMA NTAANDIKA POST YAKO SPECIAL MWANANGU...
NEXT DESTINATION STRAIGHT TO OUR AUNT!S PLACE,,,
RAY B I SEE YOU,,
MY AUNT OUR HOST ALIYEKAA NA MUMEWE,,
WATOTO WAKE WAKO NJE SO ITS JUST HER AND THE HUSBAND.
AM WITH MY UNCLE MY AUNTS HUSBAND WHO ACTUALLY SURVIVED FROM A STROKE FEW YEAR!S BACK SO IT WAS NICE TO SEE HIM BECAUSE THE LAST TIME I SAW HIM HE WASN!T SPEAKING VERY WELL SO WE ARE GRATEFUL,,
Niko na mums wa mama yangu mdogo ambaye alipata stroke miaka kadhaa nyuma na mara ya mwisho nilipomuona hakuwa anaongea vizuri ila sasa anaongea na kutania alikuwa ananichekesha mno kwakweli Mungu ni Mwema.Watoto wao wanaishi nje so wako wao tu.
Yeye ni daktari na mkewe ni Mwanasheria,mtetea haki za kina mama na mengine mengi,,
BAADA YA MENU KULIKUWA NA ENTERTAINMENT FROM THE HOST,MAMA DOGO!!
THE HOST WAS A PURE DELIGHT,,
WE PLAYED GAMESπππ
THIS WAS OUR BOXING DAY INSHORT,,
THE HOST AND THE FOOD WAS AMAZING AND WE REALLY ENJOYED OURSELVES.
AFTER THE FOOD WE PLAYED GAMES,WON PRIZES AND MUCH MORE FUN STUFF.
LA FAMILIA YOU WERE MY CHRISTMAS GIFT FOR CHRISTMAS 2016,NAWAPENDA!!
HII ILIKUWA BOXING DAY SIKU YA BAADA YA CHRISTMAS DAY.
MUALIKO ULIKUWA KWA MAMA MDOGO NDUGU YAKE NA MAMA SO TULIJUMUIKA KWA PAMOJA NA KUENJOY BOXING DAY.
TULIKULA,TULICHEZA GAMES,WATU WALIJISHINDIA PESA NA MENGINE MENGI TU.
KWANGU MIMI HII ILIKUWA ZAWADI TOSHA YA CHRISTMAS KUWA NA FAMILIA NA KUSHEREHEKEA KWA PAMOJA NA HIYO NDIO MAANA YA CHRISTMAS.