Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, July 9, 2017

YUDA SEASON ONE,LEGOO!!!

6 comments:

sosoano said...

mmhhhh!!!!!!!!!
kweli Yuda season 1 au ndio kiki hzi

Anonymous said...

Dah kipenda roho hula nyama mbichi but mmmh mbona huyu kaka anaonyesha hana kazi? Mda wote anakaa kaa tu mara dukani kwa Wolper mara kwenye gari au home na mda wote kuchat kwenye simu. Wolper si utaishia kumlea huyu? Halafu yaishie yale ya harmo uanze kulia. Mmmh mbarikiwe kwenye uhusiano wenu

comfort said...

Mmmmmmh!bongo jamani lo!napitaaaaa.

Anonymous said...

Mbona mjini rahaaa. Karu ka mavi kaangukia somo la mavi . Ananye mbaya. Siangetukana na bashite tuuu hata kama ha enjoy Penzi la siri. Huyu kijana namie namwonaga dukani kakaa dah . Anarudi kule kule alikotoka

Cute Olive said...

Hahahah Nuru umenichekesha Yuda Season 1 kha ila tutaona na kusikika mengi ila hachoki tu vibenteni utamlea mwisho wa siku anakutenda bila haya

Irene said...

ha ha watu wanataka wanaume wanafanana na cartoon what do you expect wacha wasalitiwe kila bongo muv wanataka handsome boy