Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Saturday, July 15, 2017

Two Different People,Two Different Situation!!!

Bongo5


OH Hawa hata sijui niongee nini..
Inasikitisha ulianza vizuri ila bad choices na circumstances zikakufanya ufike hapo.
Sometimes makundi haya na watu waliokuzunguka wanaweza kukupoteza kama hauna strong Will.
Wasichana in The Industry hupitia mengi na kama hawana strong Will,au a good foundation hupotea vibaya mno.
I pray for you Hawa na Pia kisaikolojia hayuko sawa kabisa she needs expert help na haitapatikana Bongo.
Watu wenye serious issue kama hizi Shilawadu is not kipindi sahihi kabisa maana anachopitia is far from  udaku Bali ni a serious condition.
Halafu na yeye Diamond kumbe waliishi pamoja na walikuwa na mahusiano?
May you get better and help Hawa cause najua kipaji unacho.

5 comments:

Anonymous said...

Diva bwana eti yeye analala tu kha! halafu ndio anasema anatamani mtoto ngoja azae ndio atatia akili. Huyu Hawa anahitaji maombi kwa kweli halafu naona kama wamemuaibisha ahe doesn't even know what she is talking or doing anahitaji msaada kama kina Chidi na wengine...CinTea

Anonymous said...

Mama take hawa kanitia uchungu,kama mzazi anaona jinsi mwanae angekua mbali na sasa kababuka hadii midomo.
Zamaradi should have done this interview,sina cha kusema juu ya hawa shilawadu its such a shame walivyomtreat.

NURU THE LIGHT said...

Kila siku huwa nalalamika kuhusu hiki kipindi kwani kuna issues ambazo ni very serious lakin wao wanazichukulia poa mbona wao walivyotishiwa hamna mtu aliwasanif na kuwakejeli na kuwaendea na jakamera usiku makwao bali watu waliwaonyesha utu..
mnafanya udaku sawa ila issues nyengine muwe naroho za huruma na kusymphathise na muhusika.

Irene said...

Huyo Diver sio mzima jamani maaana sio kwa wazimu huo

Anonymous said...

Hii sio issue ya umbea ubuyu etc, this is something serious, this needed a decent platform to be aired, but any way lets hope atapata msaada, its never too late. She admits she wants help,i hope she gets help.