Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Saturday, July 8, 2017

THE MOVE WITH SLÄPAKUTEN,MIKEYROSACRIB!!!Moving aint easy lawd have mercy our whole bodies were dead after this..
I felt every muscle after the hard work but thank god we got done in one day..
Offcoz we tried to have some fun time in the midst of all the moving with my Nicky Nicky haha
So now my brother begins a new chapter in your big ass Home and I wish you All the best with your fam in your new Upgraded Crib as Mr K said it,,,Lol!
The house is gone be renovated with some few things before they can get new things in..
Eli you came in the neck of time cause we sure needed the Extra hand and everybody who came to help we thank you so very much..,
With that being said Wang Fe Ho..,

Aisee kuhama ni kazi na sio kazi ndogo maana baada ya hili sakata mili yetu iliumajee haha..
Nilihisi kila mfupa mwilini nililala kama mtoto chezea kuhama..,
Ila kuna wakati mie na kadogoo tulikula mziki huku tukisafisha hahahah hadi rahaa..
My brother nakutakia mema kwenye safari yako mpya na familia yako kwenye himalaya yenu mpya  from the bottom of my heart,Amen!
Sasa msubiri renovation na vinginevyo kupendezesha nyumbani kwenu..
Eli tunashkuru ulikuwepo maana tulihitaji extra hands na wengine note walokuja tunashkuru sana.

5 comments:

sosoano said...

i can feel ulivyokuwa umechoka
nimependa ile segment ya mziki na bint yako.
lovly family
yani da nuu usiseme tu
mie sipendi kuhama jmn mana ni fulu kuchoka toka watoka ya zamani na kwenda kuingia mpya
pole sana sana

Irene said...

ha ha pole weye kwa kuchoka i can imagine huo uchovu ila its nice kuhama mana unajikuta unavitu lukuki unwanted

Anonymous said...

jamani Nuru that pair of jeans.....mmh

NURU THE LIGHT said...

Unwanted kibao zilitupwa Irene..
Soso hili ni zoezi toshaa
Anon ni jeggings vipi umezipenda au?

comfort said...

Poleee.zoezi la kuhama halijawahi muacha mtu salama.