Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, July 28, 2017

THE ANSWER TO WHY??


Since mliipigia kura nikaiorder..
Gauni kangu kakafika,,
Kuifungua niijaribu kwanza ilikuwa see through yaani unatoa show bureee..
Kingine haikunikaa vizuri kabisa I was so dissapointed nikairudisha Chap Chap!!
Dont you just get dissapointed ukiona kitu kizuri online halafu kikija hakiko vile ulitarajia😡😡😡

2 comments:

sosoano said...

kwanza unaweza lia mpk ukatamani kupambana na ukuta

pole sana ungechukua ile ya rangi ya damu ya mzee m ndio nilikuchagulia hahhahaha!!!! (kiddng)

ila pole da nuu

Cute Olive said...

dah jamani alafu hapo hainyoshe kama unaweza ona mpaka ndani. hakuna kitu kinaboa kama utegemee kitu alafu ukute tofauti hamu yote inaisha pole dear