Wajuzi wa fashion nijuzeni. Sasa hovi viealo vyote mbona kama vinafanana kabisa. Ntajuaje kama tidhet ni ya kiume au kike? Shanga pia ? Pls nielekezeni ili ninunue nivze na muzee
m najiuliza kwa sauti hivi huwa wanakuja na begi zao za nguo tu kwa hom yake au na vitu vya ndani na masufuria ya kupikia etc mana siku akikuchoka tekeeee begi lako nje ya geti
5 comments:
Mmmmh,mahaba shatashata lo!
Mapenzi ya woolper kama moto wa kifuuu subiri muda utaona
Wajuzi wa fashion nijuzeni. Sasa hovi viealo vyote mbona kama vinafanana kabisa. Ntajuaje kama tidhet ni ya kiume au kike? Shanga pia ?
Pls nielekezeni ili ninunue nivze na muzee
m najiuliza kwa sauti hivi huwa wanakuja na begi zao za nguo tu kwa hom yake au na vitu vya ndani na masufuria ya kupikia etc
mana siku akikuchoka tekeeee begi lako nje ya geti
ha ha kazi ipo hapa wakitemana then wanaanza tena tukanana
Post a Comment