Leila Una Moyo..,
Kuna Familia unaenda kukutana nazo baada ya kuolewa kama Una roho ndogo hautosurvive all in all Maisha ni shule and it takes a sudden character to handle sudden situations!
3 comments:
Anonymous
said...
Yalinikuta haya mie T. Wifi alikuwa akisimamaa kuchamba huhemi.Basi mama mkwe nae alikuwa anawapenda wanae sitaki kukumbuka.Miaka 6 niliona kama 26 ya ndoa Mwanaume nilimpenda nikavumilia. Mungu anamiujiza na Sifa nyingi. Nikadai Talaka nikampata M norge wanakampuni Dar . Nimeolewa na0 nna wtt 3. Asante Mungu Wifi akaolewa na bosi wa bandari. Aliishi kama malkia. Mara mwanaume akaanza kumsumbua uhuni . Mara katoka magendo kapata ajali mbezi . Miguu yote ikavunjika ×4 /4 Mama presha akafariki ghafla . Mume nae kamwacha Na hivi ndo waliishi maisha ya juu kszo hana elimu form 4 . Rachael nilikwambia sinto kusahau japo nimekusamehe . Eti leo ananiomba nikusaidie . Maisha .shuleee
Wifi kaa huyo mmhhh. Ukiingia Instagram utadhani leyla ni mke mwenzake . Kaandika mafumbo ya wazi . Na kile walichokuwa wanakipenda na kujigambia ndo kimewatoka . Mungu atamcheleeeshea kwa roho yake nene
3 comments:
Yalinikuta haya mie T. Wifi alikuwa akisimamaa kuchamba huhemi.Basi mama mkwe nae alikuwa anawapenda wanae sitaki kukumbuka.Miaka 6 niliona kama 26 ya ndoa
Mwanaume nilimpenda nikavumilia.
Mungu anamiujiza na Sifa nyingi. Nikadai Talaka nikampata M norge wanakampuni Dar . Nimeolewa na0 nna wtt 3. Asante Mungu
Wifi akaolewa na bosi wa bandari. Aliishi kama malkia. Mara mwanaume akaanza kumsumbua uhuni . Mara katoka magendo kapata ajali mbezi . Miguu yote ikavunjika ×4 /4
Mama presha akafariki ghafla . Mume nae kamwacha Na hivi ndo waliishi maisha ya juu kszo hana elimu form 4 .
Rachael nilikwambia sinto kusahau japo nimekusamehe . Eti leo ananiomba nikusaidie .
Maisha .shuleee
Wifi kaa huyo mmhhh. Ukiingia Instagram utadhani leyla ni mke mwenzake . Kaandika mafumbo ya wazi . Na kile walichokuwa wanakipenda na kujigambia ndo kimewatoka . Mungu atamcheleeeshea kwa roho yake nene
kha huyu mwanamke anahitaji tuzo jamani mana huyu moyo haswaaa
Post a Comment