Ila popobawaz jamani utakufa mdogo wazi nini macho kodo kila siku? shauri yako BP ikupande bure. Doctor kakuweza kakupa dozi ya kutosha usipopona utakua sugu.
heheheheh popo bawa Pemba tutamzamisha baharini, ila huku kwa The Light anachapwa tu bakora za macho, atavaaa miwani ya mbao mwenyeweeeee au atajisalimisha kwa new name in our family lol!!!!!
9 comments:
nice outfit da nuu
hii night shift ni ipi da nuu
Dr wangu tabibu jamani na ur white dress looking amaizing haikisha unawaua kabisa hawatoki humo ndani, in love with everything
Le doctari!!!!
Wallah umependezea kweli kuwa dr.
dr. wa kuwarekebisha na kutuchapa kwa bakora za macho ma haters!!
yaani humu kama wewe hater utaishia kupenda kimya kimya tu.
looking PURE BABY LIGHT.
Popo bawaz kawamind mnajua kapanic ila wadau mmenyoosha kupenda tayari otherwise why popoz umo humu everyday..love you my pipoooo ahsanteni mwaaaah!!!
Nuru dear wasiokupenda itawacost!
Ila popobawaz jamani utakufa mdogo wazi nini macho kodo kila siku? shauri yako BP ikupande bure. Doctor kakuweza kakupa dozi ya kutosha usipopona utakua sugu.
Mmmmmmh Nuru mi macho kodoooo, ila huyo popo bawaz na akwendreeeeee. Winnie
Pochi tuuuu ...mi hoi.mwamini
Mwamini unanidai unajua je hii umeipenda...le pochi!
Cute senkyuuu
heheheheh popo bawa Pemba tutamzamisha baharini,
ila huku kwa The Light anachapwa tu bakora za macho, atavaaa miwani ya mbao mwenyeweeeee au atajisalimisha kwa new name in our family lol!!!!!
Post a Comment